Tukiacha roho mbaya Marangu Kilimanjaro ni kama ulaya

Kijiografia, malazi pamoja na huduma za kijamii pako vizuri sana. Wamarangu ni wakarimu ila usijitutumue mbele yao wewe kama mgeni a.k.a Chasaka.

Mapungufu yao makubwa ni kuhodhi ardhi na kumiliki njia kuu za uzalishaji mali kunakopelekea mtu mgeni kutokutamani kuishi na kujitafuta kiuchumi. Hii inapelekea eneo kuwa domant kwani kunakosekana nguvu ya ushindani yenye mchanganyiko wa jamii zingine.
Pia legacy ya upambanaji kwa vijana wake imeshuka kutokana na uvivu, ulevi pamoja na kutegemea mali za urithi.Vijana wengi wamekimbia na wachache waliobaki nguvu ya uzalishaji imeshuka. Idadi kubwa ya watu ni wazee na wajukuu ambao ni wanafunzi.
Rate ya kuzaliana pia inashuka na wapambanaji wakuu ni kina mama pekee.
 
Kijiografia, malazi pamoja na huduma za kijamii pako vizuri sana. Wamarangu ni wakarimu ila usijitutumue mbele yao wewe kama mgeni a.k.a Chasaka.

Mapungufu yao makubwa ni kuhodhi ardhi na kumiliki njia kuu za uzalishaji mali kunakopelekea mtu mgeni kutokutamani kuishi na kujitafuta kiuchumi. Hii inapelekea eneo kuwa domant kwani kunakosekana nguvu ya ushindani yenye mchanganyiko wa jamii zingine.
Pia legacy ya upambanaji kwa vijana wake imeshuka kutokana na uvivu, ulevi pamoja na kutegemea mali za urithi.Vijana wengi wamekimbia na wachache waliobaki nguvu ya uzalishaji imeshuka. Idadi kubwa ya watu ni wazee na wajukuu ambao ni wanafunzi.
Rate ya kuzaliana pia inashuka na wapambanaji wakuu ni kina mama pekee
 
Mwanaume wa kimarangu pesa zake sio kuhonga kabisa ndio Maana wanapata maendeleo, wao Starehe ni Pombe Tu, Mbunye sio kipaumbele kabisa
Sio hawa wa sasa , wa sasa ni wazembe na wanapenda kitonga walikua wazee wao labda
 
Kwa hiyo ule usemi wa Kaskazini hatokei fala hauwahusu hao vijana wa kisasa?
Vijana wamarangu wamebaki sifa tu , wamebweteka na maendeleo ya wazazi wao ,marangu wenye hela ni wazee tofauti na maeneo mengine ya uchagani kama rombo machame na kibosho wenye hela ni vijana wadogo
 
Back
Top Bottom