Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,883
- 12,570
Kama vile kiroho kimejikunja kiaina.😅Ni kama ulaya kitu gani Sasa hali ye hewa,mandhari,chakula,watu,biashara,tech au nn na unauhakika hapo lizabon panafanana na Paris London au Madrid
Marangu ni pazuri sana ila Ulaya achana nayo kabisa