Tukiacha roho mbaya Marangu Kilimanjaro ni kama ulaya

Ni kama ulaya kitu gani Sasa hali ye hewa,mandhari,chakula,watu,biashara,tech au nn na unauhakika hapo lizabon panafanana na Paris London au Madrid
Marangu ni pazuri sana ila Ulaya achana nayo kabisa
Kama vile kiroho kimejikunja kiaina.๐Ÿ˜…
 
Kusema ule ukweli pasipo chuki wala nyege... Wachaga wa Marangu ndio specie iliyostaarabika zaidi kuliko aina nyingine za wachaga afu pia Elimu kwao ni kipaumbele + maendeleo..

NB: ni nadra sana kukuta Binti wa kimarangu amezalia nyimbani ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Ni hali ya hewa tu ndiyo favourable.

Mengine ya kawaida sana.
Hapana. Ardhi inampangilio na umilikaji uliotukuka. Kila mtu ana eneo lake rasmi i.e. kihamba. Sio kama huku " Nuka" watu wanajijengea hovyo hovyo tu eti kwa sababu kuna nafasi ya kujenga ipo hivyo watu/familia wanasongana kama maharage kwenye kiroba.
 
Nanukuu: "NB: ni nadra sana kukuta Binti wa kimarangu amezalia nyimbani "
Hiyo ni mwiko kabisa. Ikitokea ameshika mimba basi kamwe hairuhusiwi kabisa ajifungulie hapo nyumbani. Bora akajifungulie kwa shangazi, bibi au nyumba ya kupanga ila sio hapo nyumbani - ni marufuku.
 
Umewahi kufika ulaya labda utufananishie na nchi gani ?
Mimi naona miti tu na mabati yaliyopauka
Mmmh! Acha nongwa na husda. Wape maua yao broo. Hiyo sio kazi ya siku moja na wala sio kazi rahisi kufikia kiwango hicho cha maendeleo. Unaweza kuifananisha na nchi ya Denmark kwani Denmark nayo ni nchi ya milima na mabonde tena watu wake ni jamii yenye ukimya mwingi tena hawana majigambo licha ya maendeleo waliyonayo.
 
Vijiji vya Europe vingi ukiwa juu unaona kama unachoona kwenye hio video.
Hapo chini ni vijiji vya ulaya, sijaona hata sehemu yoyote inayofanana na marangu na hasa ukiongezea upatikanaji wa huduma za jamii

Hapa Switzerland vijijini



Hapa ni German vijijini


Hapa ni Scotland vijijini




Hapa ni England vijijini
 
Fedheha sana mate.

Ila marangu kweli pazuri nilienda mwezi wa 8 lakini palikuwa pakijani, ni kwamba panakuwa pakijani mwaka mzima?
Siyo Marangu tu Mate...
Kilimanjaro yote ni kuzuri...Nikimaanisha vijijini...Wengi wakipita na magari mjini kati kule wanadhani ndiyo Moshi ipo hivyo...
Moshi ni kuzuri ndani ndani huko..

Yes....Ule ukijani hasa kwa nyakati hizi panakuwa hivyo...nyakati za jua unapatikana labda kwa kumwagilia๐Ÿ˜…
 
Ni kama ulaya kitu gani Sasa hali ye hewa,mandhari,chakula,watu,biashara,tech au nn na unauhakika hapo lizabon panafanana na Paris London au Madrid
Marangu ni pazuri sana ila Ulaya achana nayo kabisa
Kwamba eneo likishakuwa baridi, ndio hali ya hewa safi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ