NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mapopoma wote wasome hii.View attachment 1927206
View attachment 1927207
View attachment 1927209
Shabiki wa kweli mwenye kadi na anayehidhuria AGM anayajua haya. tabu inaanzia kwa shabiki wajuaji wa mitandao mtu anaonekana kabisa hakuna anachokijua lakini anakuja kupotosha watu. Jitahidini kujielimisha kwanza kabla ya kukurupuka
Mkuu mimi sijaongela mambo ya GSM kwenye comment yangu.hebu tuambie thamani ya mkataba wa Yanga na GSM Kama inajulikana ,weka facts hapa siyo bla bla
Huu ni mwaka gani? 2021Toka magori awe ceo hapo kolo miaka 2 ishapita
Unamdai mtu humu, akuletee mkataba?Mbona mnaleta mkataba mmoja tuu wa No Extra?leteni ya MO29, MOSPORT, MO FOUNDATION
Nafanya navyojiskia mimi, sio mtu kuniambia eti lete.Ulipojibu huko juu ilikuwa ni amri au ombi?
Mo sports huoni ni kampuni ya kutengeneza Jezi? Au kichwani kwako umejaza nini?Vipi kuhusu B29, MO sports, MO foundation, MO protector
Leta taarifa zao walipo sign hizo deals
Wabongo ndivo walivo unaweza mjengea nyumba nzima bure kabsa ila ukaweka rangi brand yako na bdo atakuuliza kwann usingeweka rangi nayotaka mmHapo shida yako ni tangazo la sabuni, kama ingekuwa ile Mo energy uliyoizoea usingelia.
Simba imekuwepo miaka mingi, lakini hata mishahara ya wachezaji ilikuwa tatizo, timu ilikuwa inategemea viingilio vya milangoni ambavyo havikutosha chochote zaidi ya wale makomandoo kuneemeka kwa kupitia jina la timu.
Leo amekuja Mo, anasajili wenye viwango, anawalipa mishahara mizuri kwa wakati hatusikii wakilalamika kama upande wa pili, wanafanya vizuri ndani na nje ya nchi, brand ya timu inazidi kukua, lakini cha ajabu kwenu anayechangia kuikuza hiyo brand hatakiwi kutangaza biashara zake.
Kila siku mmekalia majungu Mo anaiibia Simba SC, bila kutuonesha ushahidi usio na shaka anaiba vipi na wapi, Simba inaingiza kiasi gani na Mo anaiba ngapi.
Wazungu husema "he who alleges must prove" if you can't shut up; vinginevyo nyie mnaoutumwa na makomandoo au ndio makomandoo wenyewe kupiga kelele mnajisumbua tu, Simba SC ilishatoka huko.
Hamjiulizi pesa za usajili, posho, gharama za usafiri na malazi, mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi hutoka wapi, mnalialia tu; toa hizo gharama zote halafu tuambie Mo anaiba ngapi tofauti na kile alichoweka Simba SC sio maneno matupu kila siku.
Kama mlikuwa na hii akili ya biashara kwanini hamkujitokeza kabla Mo hajaenda Simba SC? au mmepata akili baada ya Mo kwenda Simba? wacheni kelele, mlilia na bil 20 zikawekwa, mmebaki kuhamisha magoli wachovu nyie.
Sio tu shabiki mweenye kadi au asie na kadi huu mjadara au chokochoko unaletwa na kuanzishwa na watu wasioipenda wala kuitakia mema simba sports club na hamna siri ni watu wa upande wa pili yaani utopolo, vyura fc, misukule fc, vibwengo nk tusipe nafasi hiyo wameshashindwa mda sana wanajua, ni wivu baada ya kuona simba tunapiga hatua nzuri.View attachment 1927206
View attachment 1927207
View attachment 1927209
Shabiki wa kweli mwenye kadi na anayehidhuria AGM anayajua haya. tabu inaanzia kwa shabiki wajuaji wa mitandao mtu anaonekana kabisa hakuna anachokijua lakini anakuja kupotosha watu. Jitahidini kujielimisha kwanza kabla ya kukurupuka
Utajiwe kiasi na account gani ili iweje wewe kama nani kwa mfano wenye simba yetu tunajua wewe kwa kutulia dawa ikuongie sawa sawa mkuu pia jikaze ty taratibu utaelewa sanaHuo mkataba uliona wapi? Na hiyo ela ndefu ni kiasi gani? Kusema ela ndefu bila kutaja figure maanake hauju lolote umehisi tu. Tuambie huo mkataba ulisainiwa lini na kiasi gani kililipwa. Ndio maana mleta mada kasema uwazi uwepo
Naunga mkono hojaMm naona ni haki yake ata kama hakuna mkataba wa ayo matangazo tukubali tukatae iz timu zetu zina mtaji mmoja tu wa mashabik sasa kuwafanya hao mashabik wawe pesa ndio mtihan ndio maana ukirud nyuma simba ilikua inaish maisha magum sana na baadae baada ya manji kuondoka yanga nao yaliwakuta ayo ayo simba na yanga zinataabika sana ikiwa tu hazina mtu mmoja au kundi la wenye pesa utajil wao huo munaosema ni brand ni mashabik tatzo ni kwamba sisi watanzania ni wepesi kuongea na kushabikia ktu likija suhala la kutenda ndio mtihan leo hii tunasema simba na yanga ni brand sasa tafuta wanachama kutoka simba na yanga pamoja na mashabik ambao ambao watakua tayar kulip ata elf 50 tu kwa mwaka kama ujaishia kupata ela ya kulipa wachezaj wasiozd ata kumi na inakuja kutokana na ugum wa maisha yetu anapotokea mtu akawa anatoa pesa kuendesha timu asa simba na yanga mueshimu sana amejitoa muhanga usiangalie faida tu angalia alikoanzia na matumiz yake mo ni mfanyabiashara lkn pia ni shabiki wa timu kiufup ingekua ulaya ile simba yote ingekua inamilikiwa na mo anachofanya mo sasa hiv ni kuangalia kila njia ambayo itamsaidia kupata faida mara mbil kwanza faida itoke simba na faida itoke ktk kampun zake kupitia simba na huo sio ubaya nitarud siku kuungana na ww nikiona mo anaitumia simba kujitangaza alaf timu inashuka kiwango lakn kwa sasa hiv sina cha kumla,alaf sijui kwann kila ktu anasemwa mo,ukipitia ukurasa wa yanga na jez yao kuna tangazo la gsm magodoro kuna kipind walikua wanatangaza mpaka bidhaa za gsm ktk maduka yao ikiweo adi amira kwako mm sioni ubaya ata kwa ayo maana ndio maana ya udhamin kila mmoja anufaike kupitia mwenzake kama mashabik ndio brand miaka yote simba na yanga zisingekua apa uwe na mashabik weng lkn pia uwe na watu ambao watawatumia hao mashabiki kujiendesha
Kaka una akili nyingi sana , lazima tukubali sisi mashabiki ni blah blah nyingi ila kuendesha timu hatuwezi kabisaMm naona ni haki yake ata kama hakuna mkataba wa ayo matangazo tukubali tukatae iz timu zetu zina mtaji mmoja tu wa mashabik sasa kuwafanya hao mashabik wawe pesa ndio mtihan ndio maana ukirud nyuma simba ilikua inaish maisha magum sana na baadae baada ya manji kuondoka yanga nao yaliwakuta ayo ayo simba na yanga zinataabika sana ikiwa tu hazina mtu mmoja au kundi la wenye pesa utajil wao huo munaosema ni brand ni mashabik tatzo ni kwamba sisi watanzania ni wepesi kuongea na kushabikia ktu likija suhala la kutenda ndio mtihan leo hii tunasema simba na yanga ni brand sasa tafuta wanachama kutoka simba na yanga pamoja na mashabik ambao ambao watakua tayar kulip ata elf 50 tu kwa mwaka kama ujaishia kupata ela ya kulipa wachezaj wasiozd ata kumi na inakuja kutokana na ugum wa maisha yetu anapotokea mtu akawa anatoa pesa kuendesha timu asa simba na yanga mueshimu sana amejitoa muhanga usiangalie faida tu angalia alikoanzia na matumiz yake mo ni mfanyabiashara lkn pia ni shabiki wa timu kiufup ingekua ulaya ile simba yote ingekua inamilikiwa na mo anachofanya mo sasa hiv ni kuangalia kila njia ambayo itamsaidia kupata faida mara mbil kwanza faida itoke simba na faida itoke ktk kampun zake kupitia simba na huo sio ubaya nitarud siku kuungana na ww nikiona mo anaitumia simba kujitangaza alaf timu inashuka kiwango lakn kwa sasa hiv sina cha kumla,alaf sijui kwann kila ktu anasemwa mo,ukipitia ukurasa wa yanga na jez yao kuna tangazo la gsm magodoro kuna kipind walikua wanatangaza mpaka bidhaa za gsm ktk maduka yao ikiweo adi amira kwako mm sioni ubaya ata kwa ayo maana ndio maana ya udhamin kila mmoja anufaike kupitia mwenzake kama mashabik ndio brand miaka yote simba na yanga zisingekua apa uwe na mashabik weng lkn pia uwe na watu ambao watawatumia hao mashabiki kujiendesha
Acha hasira na uoga ,weka hapa pressNenda Ofisi za GSM utaukuta
AmekimbiaAkikuletea nitag
Nami naomba atajilike maana mleta mada ameanza kushabikia mpira mwaka huu hajasema mishahara inalipwa kwa mfumo upi timu inasafri vp ela ya usajili inapatikana vpKaka una akili nyingi sana , lazima tukubali sisi mashabiki ni blah blah nyingi ila kuendesha timu hatuwezi kabisa
Rejea Mzee Akilimali ,alimnanga Manji kuondoka baada ya Manji kuondoka timu ikawa kituko mishahara hakuna anaulizwa anakuwa mkali [emoji23] wakati aliwaaminisha watu kwamba Yanga hatishiki Manji kuondoka yaani hawa watu ni kwenda tu uwanjani kushangilia ila kutoa pesa walau 50000 per month kuendesha timu hawawezi saana watakimbilia tena kusaka wadhamini.
Mimi napenda Mo Afaidike na Simba ifaidike maana katutoa kubaya mno