Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Akikuletea nitagNiletee press ya Mo29 sabuni hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikuletea nitagNiletee press ya Mo29 sabuni hapa
Ulipojibu huko juu ilikuwa ni amri au ombi?Ni amri au Ombi? Sijakusoma mkuu
Unaenda mbali sana. Kuwa mustaaraabu.lete picha ya mama yako na yeye tumuweke
Heri yako wewe unajielewa na umeweka unafiki pembeni,huyo aliekutukana yupo kwenye payroll ya kumtetea Mwamedi kwenye mitandao hasa hapa Jamiiforums.Wewe ni mmoja wa mashabiki wenzangu wa Simba. Pia una reputation yako nzuri tu hapa. Ni busara kujitofautisha na watu Wanaosema hovyo hovyo. Hakuna haja ya kuniita mbuzi.
Tunataka kuona timu yetu inaendeshwa vizuri kwa uwazi na kwa faida.
Kwa nini kwenye kuna mambo mengi ambayo lazima yapigiwe kelele sana ndo yanatekelezwa. Kwa mfano tu ile Bilion 20 yaani imetoka kwa mbinde sana?? Baada ya kusemwa sana. LAKINI SIKU MO ANATOA ILE PESA KUNA KAULI INAYOHUSU MATUMIZI ALIISEMA.
NI SUALA LA MUDA TU. TUTAJIONEA.
Huyo yupo radhi kumsaliti Wazazi wake na hata Mke wake kisa kumtetea Mwamedi.Unaenda mbali sana. Kuwa mustaaraabu.
Sasa mnataka aweke hela zake bure tu.. bila ya yeye kupata faida yoyote mkuu? Hisa 49% sio ndogo mkuu unless zingekuwa splitted kwenye kampuni tofauti ambazo nazo bado wangeomba kuonekana kwenye jesy n.k..
This is Funny
Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.
Mo ni Mfadhili,Mmiliki(Mwanahisa by 49%), Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Mwanachama waSimba S.C lakini si mdhamini mkuu.Anachokifanya kupitia nafasi zake hizi ni kujitengenezea fursa za kimasoko bila mikataba maalum isiyokuwa na terms wala ukomo utakaoongeza dau la udhamini kila mwaka au mkataba utakapoisha.Hii ndio inaitwa MONOPOLY SYSTEM.
Kampuni za Mo ni different entities na zinahitaji makubaliano ya kimkataba kufanya dili yeyote na Simba Sc. Mkataba wa udhamini wa Kampuni za kibiashara za Mo ni wa gharama ndogo sana kulinganisha na Airtime ya matangazo wanayopewa na Simba kwa kampuni zake. Huu si unazi bali mnapaswa kukaa naye mezani na kumwambia ukweli kwa faida yenu hapo baadaye ili mnufaike kibiashara, si kweli kama yeye anapata hasara. Marketing power ya Klabu ni kubwa sana kuliko inavyoaminishwa.
Anacho ongea mleta mada ni zaidi ya Kulipa posho, zaidi ya kulipa mishahara, ni zaidi ya kusajili wachezaji na ni zaidi ya kila kitu ulichokileta hapa coz haya unayo ongea wewe ni must do things kutokana na asilimia ya hisa alizonunuaHapo shida yako ni tangazo la sabuni, kama ingekuwa ile Mo energy uliyoizoea usingelia.
Simba imekuwepo miaka mingi, lakini hata mishahara ya wachezaji ilikuwa tatizo, timu ilikuwa inategemea viingilio vya milangoni ambavyo havikutosha chochote zaidi ya wale makomandoo kuneemeka kwa kupitia jina la timu.
Leo amekuja Mo, anasajili wenye viwango, anawalipa mishahara mizuri kwa wakati hatusikii wakilalamika kama upande wa pili, wanafanya vizuri ndani na nje ya nchi, brand ya timu inazidi kukua, lakini cha ajabu kwenu anayechangia kuikuza hiyo brand hatakiwi kutangaza biashara zake.
Kila siku mmekalia majungu Mo anaiibia Simba SC, bila kutuonesha ushahidi usio na shaka anaiba vipi na wapi, Simba inaingiza kiasi gani na Mo anaiba ngapi.
Wazungu husema "he who alleges must prove" if you can't shut up; vinginevyo nyie mnaoutumwa na makomandoo au ndio makomandoo wenyewe kupiga kelele mnajisumbua tu, Simba SC ilishatoka huko.
Hamjiulizi pesa za usajili, posho, gharama za usafiri na malazi, mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi hutoka wapi, mnalialia tu; toa hizo gharama zote halafu tuambie Mo anaiba ngapi tofauti na kile alichoweka Simba SC sio maneno matupu kila siku.
Kama mlikuwa na hii akili ya biashara kwanini hamkujitokeza kabla Mo hajaenda Simba SC? au mmepata akili baada ya Mo kwenda Simba? wacheni kelele, mlilia na bil 20 zikawekwa, mmebaki kuhamisha magoli wachovu nyie.
Vipi kuhusu B29, MO sports, MO foundation, MO protectorWabongo mmejaa ujuaji ( Ushamba) , jambo hujalifuatilia unakimbilia kuanzisha uzi, mnatuchosha asee.
View attachment 1927254
Nenda Ofisi za GSM utaukutaNiletee press ya Mo29 sabuni hapa
20B nizakwako..? Na zile kama 150M za moxtra nizakwako nenda pale msimbazi kawaaukize viongozi kwani kila mktaba unakua open kwa kila mtu..?Usidanganye watu. Thamani ya mkataba wa Sportpesa inajulikana na inajulikana mkataba ni wa muda gani.
Thamani ya mikataba ya MO haijulikani. Na wala haijulikani ni ya muda gani.
This is Funny
Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.
Mo ni Mfadhili,Mmiliki(Mwanahisa by 49%), Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Mwanachama waSimba S.C lakini si mdhamini mkuu.Anachokifanya kupitia nafasi zake hizi ni kujitengenezea fursa za kimasoko bila mikataba maalum isiyokuwa na terms wala ukomo utakaoongeza dau la udhamini kila mwaka au mkataba utakapoisha.Hii ndio inaitwa MONOPOLY SYSTEM.
Kampuni za Mo ni different entities na zinahitaji makubaliano ya kimkataba kufanya dili yeyote na Simba Sc. Mkataba wa udhamini wa Kampuni za kibiashara za Mo ni wa gharama ndogo sana kulinganisha na Airtime ya matangazo wanayopewa na Simba kwa kampuni zake. Huu si unazi bali mnapaswa kukaa naye mezani na kumwambia ukweli kwa faida yenu hapo baadaye ili mnufaike kibiashara, si kweli kama yeye anapata hasara. Marketing power ya Klabu ni kubwa sana kuliko inavyoaminishwa.
Mkuu usipate shida na hawa maandazi, hawa ndio wezi wetu wa kuku mtaani,kula kulala kutwa wanashinda vijiweni hata akili ya kutafuta hawana.Simba sasa hivi imeneoga hata waseme nn sisi tupo na MO %Watu kama hawa ndio wakwanza kulaumu kwanini mpira wa tz haukui ikiwa wao ndio kikwazo kikubwa. Yaani Mo anaweka pesa ya maana na timu inapiga hatua na inaonekana cha ajabu mtu kutoka kwao kashiba maandazi yake anataka aseme Mo anaiba. Basi mkawekeze nyie katieni zaidi ya 20B Mo atawaachieni.
Ifike hatua watu wamuheshimu mtu anaedhubutu. Ipo azam ya barkhesa mbona ana hela lakin anashindwa kuipandisha kwa kununua wachezaji wazuri..? Watu tukubali tu Mo kaleta maendeleo ya mpira tz kulitia simba sc
[emoji1319][emoji1319][emoji1319] hakikaMkuu usipate shida na hawa maandazi, hawa ndio wezi wetu wa kuku mtaani,kula kulala kutwa wanashinda vijiweni hata akili ya kutafuta hawana.Simba sasa hivi imeneoga hata waseme nn sisi tupo na MO %
hebu tuambie thamani ya mkataba wa Yanga na GSM Kama inajulikana ,weka facts hapa siyo bla blaHela ndefu ndo shilingi ngapi??
Hiyo mikataba inajulikana wapi au kuna wanaijua??
Kwa nini hiyo mikataba iwe kama siri, mbona thamani ya mikataba mingine ya kibiashara kwenye michezo na hata kwenye hizi timu zetu huwa inajulikana.
Umeshamaliza kila kitu mkuu ukitaka kula pia kubali kuliwa.Nani amwambie kwa mtazamo wako!?
A.Mashabiki wa Simba
B.Viongozi wa Simba akiwamo yeye mwenyewe
Na, Je una uhakika makampuni tajwa hapo hayana mkataba na Simba?
Maana mimi sijaona hata mkataba wa magodoro ya GSM wala mkataba wowote wa GSM zaidi ya kuambiwa ni wadhamini tu.
Na hata hivyo "UKIKUBALI KULA KUBALI KULIWA" .
Hata mimi siwezi kuweka pesa yangu mahali ambako hapanizalishii pesa either direct au in second hand never.Na tusimwonee wivu mtu aliyeiona fursa na kuitumia ,hapa duniani ilishaandikwa TAJIRI ATAMTAWALA MASIKINI (unadhani atamtawalaje kama si kutumia fursa ambazo maskini hawezi kuzitumia!?
Jiulize , hivi ukipewa na wewe utangaze bango lako unaweza kulipia bill zote za Simba Sports Club kwa pesa utakayoipata? Si rahisi sana kuendesha club ndugu zangu.
kabla ya kunitaka ustaarabu mwambie huyo bwege awe mustaarabu. Kanuni yangu ni moja,mtu akisema kunya na mimi namjibu kunya. Naamini wote humu tuko timamu,kwa hiyo hapaswi kunikashfu halafu nikamuacha salama. Ananiuliza Mo ananifanya nini,halafu unataka nimjibu kistaarabu 😂😂😂😂. Enzi za kubembeleza zimepitwa na wakatiUnaenda mbali sana. Kuwa mustaaraabu.
Nyie mnalipwa 1,300 kwa kila jezi ya 35,000 na makombe mnayasikia tuu, yupi ni zuzu hapoMo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.
Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.
kwamba b20 zilitolewa baada ya kelele? sio baada ya mchakato wa tume ya ushindani kukamilika? Ni au huna taarifa nyingi au moja kati ya haters. Huko kujionea Simba na Mo wakianguka mmeanza kusubiri tangu 2018 mpaka leo,hola. Badala yake Simba hiyooooo top 10Wewe ni mmoja wa mashabiki wenzangu wa Simba. Pia una reputation yako nzuri tu hapa. Ni busara kujitofautisha na watu Wanaosema hovyo hovyo. Hakuna haja ya kuniita mbuzi.