Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?

Nami naomba atajilike maana mleta mada ameanza kushabikia mpira mwaka huu hajasema mishahara inalipwa kwa mfumo upi timu inasafri vp ela ya usajili inapatikana vp
Hao ni wezi wa kuku mtaani hata hela ya kununua jezi ya Simba hana
 
Huo mkataba uliona wapi? Na hiyo ela ndefu ni kiasi gani? Kusema ela ndefu bila kutaja figure maanake hauju lolote umehisi tu. Tuambie huo mkataba ulisainiwa lini na kiasi gani kililipwa. Ndio maana mleta mada kasema uwazi uwepo

Mkuu hebu jifunze matumizi ya herufi h β€œela” tena[emoji3][emoji3].Back to the topic huo uwazi unataka wakuletee hiyo mikataba nyumbani kwako au wapost Instagram na twitter ndiyo uridhike
 
Mo sports huoni ni kampuni ya kutengeneza Jezi? Au kichwani kwako umejaza nini?
Mo 29 huo ni mkataba wa Simba na royal soap, utafute utaupata.
MO simba foundation ( huoni huo ni Ushirikiano wa simba na MO kufanya charity.
Inabidi unywe maji ili uweze kulegeza misuli ya kichwa ndo ujibu swali langu vizuri wewe kolo
 
Mo sports huoni ni kampuni ya kutengeneza Jezi? Au kichwani kwako umejaza nini?
Mo 29 huo ni mkataba wa Simba na royal soap, utafute utaupata.
MO simba foundation ( huoni huo ni Ushirikiano wa simba na MO kufanya charity.
Inabidi unywe maji ili uweze kulegeza misuli ya kichwa ndo ujibu swali langu vizuri wewe kolo
 
Huu ni mwaka gani? 2021
Hiyo ilikuwa 2019.
Afu unasema miaka miwili imepita
July last year senzo ndio aliondoka utelembwe,mpaka july mwaka huu ni mwaka,sasa piga kabla ya hapo senzo alikaa muda gani hapo kwenu then ndio utajua miaka 2 ishapita
 
Mo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.

Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.
sasa mkuu unadhani sisi mashabiki furaha yetu ni ipi kama sio ushindi na makombe,. Unata pesa anazotoa MO kwenye uzamini wake atupe sisi mshabiki mkononi tukanunue unga kwa ajili ya familia zetu? Au nyinyi mnatakaje?


Kwani nyinyi yanga mnaumia nini si kila mtu anatimu yake. Acheni vihelehele kila mtu abaki natimu yake
 
Kama nimemwelewa mleta uzi anachozungumzia ni uwazi wa mpaka kimkataba kati ya Mo kama mdhamini na Mo kama mwekezaji kitu ambacho kina uwezekano wa kuleta mgongano wa kimaslahi
Hivi misukule mmeuliza magodoro ya GSM yana mkataba gani na utopolo?
 
Huu uzi umejaa mashoga ya utopoloni eti yanaitetea brand ya simba.. Manina kabisa
 
Hata ukipewa wew basi utafanya hvi hv
 
Viongozi wenu tu ni wapigaji apo wana pitishiwa pesa izo ilili wabaki kama mazezeta
 
Mo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.

Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.
Yap acha Mo avune pesa pale Simba,tena sisi mashabiki wa Simba tunataka msimu ujao aongeze matangazo kwenye jezi,ofisi za club ahamishie kwao kama gsm alivyoweka ofisi za Yanga posta.
 
CAF Official Clubs Ranking (5-year ranking)
Viwango vya club mwa miaka 5

1. Al Ahly [emoji1093]
2. EspΓ©rance [emoji1249]
3. Wydad Casablanca [emoji1173]
4. Raja Casablanca [emoji1173]
5. Zamalek [emoji1093]
6. Mamelodi Sundowns [emoji1221]
7. TP Mazembe [emoji1078]
8. RS Berkane [emoji1173]
9. Horoya [emoji1119]
10. Etoile Sahel [emoji1249]
11. Pyramids [emoji1093]
12. Simba [emoji1241]
13. AS Vita [emoji1078]
14. Kaizer Chiefs [emoji1221]
15. Enyimba [emoji1184]
16. JS Kabylie [emoji1026]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
π“π”πˆπ“π€π…π”π“π„ π˜π€ππ†π€ 𝐒𝐀𝐒𝐀
17. Al Hilal [emoji1232]
18. CS Sfaxien [emoji1249]
19. MC Alger [emoji1026]
20. Hassania Agadir [emoji1173]
21. 1Β° de Agosto [emoji1029]
22. Orlando Pirates [emoji1221]
23. Coton Sport [emoji1062]
24. CR Belouizdad [emoji1026]
25. Al Masry [emoji1093]
26. ES Setif [emoji1026]
27. USM Alger [emoji1026]
28. Zesco United [emoji1268]
29. Nkana [emoji1268]
30. Zanaco [emoji1268]
31. El Nasr [emoji1149]
32. FC Platinum [emoji1269]
33. Rangers [emoji1184]
34. Al Merreikh [emoji1232]
35. JS Saoura [emoji1026]
36. Lobi Stars [emoji1184]
37. ASEC Mimosas [emoji1081]
38. KCCA FC [emoji1254]
39. DJoliba [emoji1159]
40. Teungueth [emoji1211]

ππˆπŒπ„π‚π‡πŽπŠπ€
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
ππ€πƒπŽ π’πˆπ–π€πŽππˆ π–π€ππŽ πŠπ–π„π‹πˆ
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
πŠπ‡π€π€π€π€π€ π–π€πŠπˆπ‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€ π‡π€π–π€ππŽ
61
62
63
64
65
66
67
68
69
πŒπ€π–π„π„π„ ππ€πƒπŽ 𝐓𝐔??[emoji849][emoji849]
70. Young Africans [emoji1241]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…