ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Kwani hapa ni ofisi za GSMAcha hasira na uoga ,weka hapa press
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hapa ni ofisi za GSMAcha hasira na uoga ,weka hapa press
Hao ni wezi wa kuku mtaani hata hela ya kununua jezi ya Simba hanaNami naomba atajilike maana mleta mada ameanza kushabikia mpira mwaka huu hajasema mishahara inalipwa kwa mfumo upi timu inasafri vp ela ya usajili inapatikana vp
Hapa ni MO UbuyuKwani hapa ni ofisi za GSM
We ungejibuje? huoni kuwa jamaa Hilo ni tusi kamtukana, kuwa mo anamfanyaje, hujaona ni swali la kizushi?Unaenda mbali sana. Kuwa mustaaraabu.
Huo mkataba uliona wapi? Na hiyo ela ndefu ni kiasi gani? Kusema ela ndefu bila kutaja figure maanake hauju lolote umehisi tu. Tuambie huo mkataba ulisainiwa lini na kiasi gani kililipwa. Ndio maana mleta mada kasema uwazi uwepo
Inabidi unywe maji ili uweze kulegeza misuli ya kichwa ndo ujibu swali langu vizuri wewe koloMo sports huoni ni kampuni ya kutengeneza Jezi? Au kichwani kwako umejaza nini?
Mo 29 huo ni mkataba wa Simba na royal soap, utafute utaupata.
MO simba foundation ( huoni huo ni Ushirikiano wa simba na MO kufanya charity.
Inabidi unywe maji ili uweze kulegeza misuli ya kichwa ndo ujibu swali langu vizuri wewe koloMo sports huoni ni kampuni ya kutengeneza Jezi? Au kichwani kwako umejaza nini?
Mo 29 huo ni mkataba wa Simba na royal soap, utafute utaupata.
MO simba foundation ( huoni huo ni Ushirikiano wa simba na MO kufanya charity.
July last year senzo ndio aliondoka utelembwe,mpaka july mwaka huu ni mwaka,sasa piga kabla ya hapo senzo alikaa muda gani hapo kwenu then ndio utajua miaka 2 ishapitaHuu ni mwaka gani? 2021
Hiyo ilikuwa 2019.
Afu unasema miaka miwili imepita
sasa mkuu unadhani sisi mashabiki furaha yetu ni ipi kama sio ushindi na makombe,. Unata pesa anazotoa MO kwenye uzamini wake atupe sisi mshabiki mkononi tukanunue unga kwa ajili ya familia zetu? Au nyinyi mnatakaje?Mo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.
Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.
Hivi misukule mmeuliza magodoro ya GSM yana mkataba gani na utopolo?Kama nimemwelewa mleta uzi anachozungumzia ni uwazi wa mpaka kimkataba kati ya Mo kama mdhamini na Mo kama mwekezaji kitu ambacho kina uwezekano wa kuleta mgongano wa kimaslahi
Nimekuuliza 2019 mpaka leo ni miaka mingapi?July last year senzo ndio aliondoka utelembwe,mpaka july mwaka huu ni mwaka,sasa piga kabla ya hapo senzo alikaa muda gani hapo kwenu then ndio utajua miaka 2 ishapita
Muone Ghalid Said Mohammed atakupatia hizo documentsHapa ni MO Ubuyu
aaah kwani mkuu kuna ubaya tukimuweka?ili ikusadie kupunguza maumivu ya kuwekwa Mo 😂😂😂Mama yangu kaingiaje hapa?
Yap acha Mo avune pesa pale Simba,tena sisi mashabiki wa Simba tunataka msimu ujao aongeze matangazo kwenye jezi,ofisi za club ahamishie kwao kama gsm alivyoweka ofisi za Yanga posta.Mo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.
Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.