Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intaneti

Acha upotoshaji mkuu.
Hujaonyesha hiyo "geomagnetic instability" imesababishaje internet failure Kwa east africa. Maelezo yako yanaonyesha kuwa mawasiliano yaliyoathirika ni ya satellite na siyo internet. 99% of intercontinental data traffic is via marine optical cables. Why effect imekuwa most Kwa east africa countries Kwa Africa? Maeleo yako hayawezi kujibu hili swali.
And for your information, baadhi ya mobile operators kama TTCL na Airtel wateja wao hawakupata shida kubwa kama Hawa wengine. Acha kuokota nadharia kwenye google ukazileta hapa jukwaani na kudeclare kuwa scientific facts. Not true
 
Umeongea kitaalamu, lakini electromagnetic waves haiwezi kusababisha hitilafu Kwa nchi 5 Tu, Dunia nzima

Tatizo lilotokea hapa juzi ni fiber optic cable's kukatika south Africa na wametaja mpaka na sehemu ilipo katikia .
Kuhusu swala la sun wind waves, ni Kweli Lina athiri pakubwa mawasiliano yetu, ya radar na satellites, radio waves systems
 
KUONGEZEA TU,HIZI MVUA NA MASIKA ZILIZOKUA ZINATOKEA NA KUENDELEA DUNIANI ILIKUA NI DALILI YA HIZO EFFECTS ZA SOLAR FLARES KUJUMLISHA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA (HAPA TUNAZUNGUMZIA MABADILIKO YA MUUNDO WA ANGAHEWA YA MUDA MREFU YALOSABABISHWA NA BINADAMU)
BACK TO INTERNRT NI CHANGAMOTO YA KAWAIDA NA SIO MARA YA KWANZA KUTOKEA TANGU TUANZW KUA RELY ON SATTELITE KIUJUMLA (ZAMANI NJIA RAHISI ILIKUA YA MAWIMBI YAASOENDA MBALI)
HOPE SOON INTERNRT INAKAA SAWA COZ HAWA JAMAA(WAMILIKI WA HIZO VIFAA(INTERNET FIBRES) WANALIPWA KWA AJILI YA MAINTANACE NA KITU KIZURI NI WAZUNGU(HOPE U KNOW WAZUNGU WALIVO SERIOUS KWENYE ISHU YA KAZI)
@msin
 
hahahah mmeiba sehemu mnawahiana kudeliver mods wanaunganisha
 
Natamani na mimi ningeona huko kumeta meta kwa anga nikiwa huku Tandahimba lakini ndio hivyo kila jambo la kushangaza hutokea ulaya tu, mara UFO, vimondo, kumeta meta kwa anga.
 
1.Kwanza fiber ni light signal inahusiana nini na magnetism?

2. Satellite communication sana sana ni TV kuliko internet mbona TV hazijaathirika?

Kama hujui kitu kaa kimya acha upotoshaji
 
Mkuu weka story book ya hili jambo week hii kule wasafi basi
 
TCRA wanasemaje? 🐼
Na makampuni ya simu yanasemaje kuhusu hili? Wengi wetu tumepata taarifa na kuombwa radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Wao wanasema kuwa kuna matatizo katika mkonga wa Baharini ambao umepata hitilafu na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano ya kimtandao. Lakini nionavyo mimi kwa kiasi kikubwa ni changamoto zitokanazo na mawimbi ya jua kama mtoa mada alivyoeleza hapo juu. Hadi sasa sijaona taarifa yeyote ya kitaalamu toka hao jama wa TCRA kuhusuana na kadhia hii.
 
Awezi akakujibu hili swali mana na yeye ni Ctrl C.... Then Ctrl V
 
Very constructive, nimesoma Hadi Raha, mitano tena Kwa mtoa mada
 
Geomagnetic storm inayopiga ionosphere inafikaje chini ya bahari?

Hiki kitu nilifikiria jana na kuangalia kama kinawezekana, nikakuta hakiwezekani, undersea cables ziko well insulated from geomagnetic storms.

Soma hapa.

 
Mkuu hii ni mojawapo ya sababu lakini kwa tukio lilitokea juzi hadi jana ni sababu ya cable. Kwanini kilichoathirika tu ni internet, huduma za calls na kadhalika zimeendelea kufanya kazi. Pia eneo lililoathiriwa ni nchi 12 za ukanda huu wa Afrika mashariki lakini Tanzania ndio iliathirika zaidi, Kenya haijathirika sana kihivyo. Na hii si mara ya kwanza kutokea, kuna mwaka juzi nadhani ya kenya ikatwa kwa bahati mbaya Kenya wakapat internet outage.
 
Geomagnetic storm inayopiga ionosphere inafikaje chini ya bahari?

Hiki kitu nilifikiria jana na kuangalia kama kinawezekana, nikakuta hakiwezekani, undersea cables ziko well insulated from geomagnetic storms.
Naunga mkono hoja.
 
Hakuna Fundi bingwa kama Mungu!

Nashukuru mkuu kwa Elimu!
 
Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na "Geomagnetic Instability" Huku ni kuyumba-yumba kwa mawimbi ya umeme na sumaku kwenye anga la Dunia. Ngoja nikueleweshe.

Mzee acha kushika watu masikio...

Kuna double fiber cuts kwa ISPs ambao ni major suppliers wa internet Tanzania (Seacom na Eassy), cut ya kwanza ilitokea mwaka huu mwanzoni na impact haikuwa kubwa sababu ya uwepo wa second link ya kusini...

Hivyo kwa sasa available ISPs wapo wachache, na tunacho experience ni unstable traffic sababu ya congestions (watu wote tunagombea kutumia resource ambayo ni chache)...

Ni kama kugombea njia moja kwenye traffic lane yenye njia nne...
 
Bandiko zuri
Nimejifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…