Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mwandishi kacopy na kupaste ndo maana hajibu maswali maana haelewi hata kinachoulizwa ni nini?Hii post ya kwanza thread hii imejaa upotoshaji, halafu muandishi kaiandika kwa madoido na kujiamini kama anajua alichoandika. Kaandika hivyo kwenye hadhira ya watu wengi wasiojua kuhakiki habari, wakisikia mtu anaeleza kitu kwa mbwembwe nyingi, wanafikiri zile mbwembwe ndiyo ujuzi.
Kumbe ujinga na uongo tu.