Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intaneti

Mzee acha kushika watu masikio...

Kuna double fiber cuts kwa ISPs ambao ni major suppliers wa internet Tanzania (Seacom na Eassy), cut ya kwanza ilitokea mwaka huu mwanzoni na impact haikuwa kubwa sababu ya uwepo wa second link ya kusini...
Naunga mkono hoja 🤣😁
 
MYUMBISHOO
 
Mimi binafsi na Conspiracy zangu naamini hii ni sabotage kutoka starlink ili watu wahamie net za satellite
 
Mada ina knowledge kubwa inaandikwaje Kwa ufupi. Ikiwa huwezi kusoma tafuta mada fupifupi usome zipo nyingi
 
Huu ni uwongo
 
Internet hatutumii kabisa satelite mzee. Ni fiber kwa asilimia kubwa sana. Na fiber ni glass. Hakuna umeme wala sumaku kwenye fiber. Ishu ni fiber kukatika baharini ndo maana internet inasumbua. Hayo mambo unayoyasema yangukua na ukweli basi TVs ndo zingeathirika coz hizo ndo zinatumia satelite communication
 
Hii post ya kwanza thread hii imejaa upotoshaji, halafu muandishi kaiandika kwa madoido na kujiamini kama anajua alichoandika. Kaandika hivyo kwenye hadhira ya watu wengi wasiojua kuhakiki habari, wakisikia mtu anaeleza kitu kwa mbwembwe nyingi, wanafikiri zile mbwembwe ndiyo ujuzi.

Kumbe ujinga na uongo tu.
 
madude kama haya nilikuwa namfatilia sana Prof. Mishio Kaku theoretical physicist mmoja hivi na kuna kipindi cha television kinaitwa Through the Wormhole cha bwana Morgan Freeman
 
Aisee hii mada kuisoma na kuielewa inataka utulivu wa hali ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…