Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mwandishi kacopy na kupaste ndo maana hajibu maswali maana haelewi hata kinachoulizwa ni nini?Hii post ya kwanza thread hii imejaa upotoshaji, halafu muandishi kaiandika kwa madoido na kujiamini kama anajua alichoandika. Kaandika hivyo kwenye hadhira ya watu wengi wasiojua kuhakiki habari, wakisikia mtu anaeleza kitu kwa mbwembwe nyingi, wanafikiri zile mbwembwe ndiyo ujuzi.
Kumbe ujinga na uongo tu.
Ku copy na ku paste ni jambo la kawaida kuelimisha watu ila sasa mtu mwingine anaweza ku copy lakini anaelewa na anacho copy inakuwa rahisi kwake kupangua majibu au hata anaweza akachimba vyanzo anavyo copy vikampa taarifa zaidi.Mwandishi kacopy na kupaste ndo maana hajibu maswali maana haelewi hata kinachoulizwa ni nini?
Hili ndilo huwa linatokea sana Tanzania kusikia wanamsifu mtu au mwanasiasa fulani kuwa ana akili sana kisa anatumia technical terms fulani kwa kujiamini. Nimekumbuka wale jamaa mapacha walikuja Tanzania wakadai mmoja anafanya kazi NASA na mwingine doctor huko Marekani. Eti wa NASA ni Mwafrika wa kwanza kufika Mars na vyombo vya habari vikaidaka story kama ilivyo pasipo hata kuwaza hakuna mtu kakanyaga Mars.Hii post ya kwanza thread hii imejaa upotoshaji, halafu muandishi kaiandika kwa madoido na kujiamini kama anajua alichoandika. Kaandika hivyo kwenye hadhira ya watu wengi wasiojua kuhakiki habari, wakisikia mtu anaeleza kitu kwa mbwembwe nyingi, wanafikiri zile mbwembwe ndiyo ujuzi.
Kumbe ujinga na uongo tu.
Watu wengi hawana basic information, wanalimbuka bado.Hili ndilo huwa linatokea sana Tanzania kusikia wanamsifu mtu au mwanasiasa fulani kuwa ana akili sana kisa anatumia technical terms fulani kwa kujiamini. Nimekumbuka wale jamaa mapacha walikuja Tanzania wakadai mmoja anafanya kazi NASA na mwingine doctor huko Marekani. Eti wa NASA ni Mwafrika wa kwanza kufika Mars na vyombo vya habari vikaidaka story kama ilivyo pasipo hata kuwaza hakuna mtu kakanyaga Mars.
Thread zikapandishwa humu pia watu wakiwasifia.