Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
 
Sidhani kama wazee wote wanazo busara kuliko vijana uliowashushia tuhuma nzito kiasi hiki.Embu jitafakari vizuri mzee.

Ikiwa hawa vijana walilelewa na wazee na bado wakawa hovyo basi hata wazee wenyewe walikuwa ni wa hovyo zaidi!

Hata hivyo jazia nyama zaidi maadili umeyapima kwa kipimo kimoja tu cha uvaaji.Vipi wazee wakwapuaji huko serikalini?
 
Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
Shida Iko hivii, watanzania wanajita wazalendo Kwa maana ya kukitumikia Chama na maslahi yao Chamani,bila kujali Chama kuna mchango Gani Kwa taifa na Wananchi wake,kama wezi yupo tayari kuwa mwizi ilimradi aitwe mzalendo,kama tapeli yupo tayari aitwe tapeli Ili atambulike mzalendo Chamani bila kujali analididimiza taifa🤔
 
Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
Mkuu ungesindikiza na kapicha ingependeza
 
Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
Ulienda kufanya nini huko? Kama nawewe ulikosa kazi hadi ukaomba kazi ya sensa bado nawe ni mtu wa hovyo.
 
Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
yaani nakushangaa wewe unaye waona wenzio hawana akili wakati wewe huna akili zaid yao! tena wewe ndiye mjinga wa kwanza kwa sababu moja ya kanuni ya sensa ni utunzaji wa SIRI, na utunzaji huo wa siri unaanzia ndani ya mafunzo lakini wewe umeshindwa kuwa msiri matokeo yake umeanza kuleta mambo ya sensa mitandaoni hivi unajionaje una akili hapo.
 
Kiasi fulani unasema kweli ukisikiliza maoni vijana wa kenya na Tz ni tofauti kabisa...
Hata kwenye page za social media vijana wa Tz wana shida mpaka unajiuliza huyu mtu kweli ni baba au mama katikati familia fulani
 
Back
Top Bottom