Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Pole Mkuu, kwa kweli Dada zetu wameliwa hasaaaa!wewe unaona ajabu katita hilo wakati Ex wangu ametoa rushwa ya ngono kwa kizee kiongozi ilimradi achaguliwe kwenye ukarani wa sensa ukiangalia huyo binti bado mdogo miaka 19 anaelekea 20 hawalingali nahicho kizee, hii Dunia ni ngumu sana , tupo kwenye mfano wa sodoma na gomora