DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
pichahapa wadada wanavaa uchi huku
Shida Iko hivii, watanzania wanajita wazalendo Kwa maana ya kukitumikia Chama na maslahi yao Chamani,bila kujali Chama kuna mchango Gani Kwa taifa na Wananchi wake,kama wezi yupo tayari kuwa mwizi ilimradi aitwe mzalendo,kama tapeli yupo tayari aitwe tapeli Ili atambulike mzalendo Chamani bila kujali analididimiza taifa🤔Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
HAJAWEKA HADI SASAHebu tupia picha za hao wadada waliopo uchi tuone.
DUUH HII NGUMU KUMEZANasikia ukiona mtu anafoka foka sana ujue nyege imeshatoka chini iko kichwa cha juu.
Mleta mada anafoka sijui wamemkosea nini?
HahahhhHebu tupia picha za hao wadada waliopo uchi tuone.
Mkuu ungesindikiza na kapicha ingependezaNipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
Hao ndio vijana wenyewe sasa... Ujinga tuNasikia ukiona mtu anafoka foka sana ujue nyege imeshatoka chini iko kichwa cha juu.
Mleta mada anafoka sijui wamemkosea nini?
Ulienda kufanya nini huko? Kama nawewe ulikosa kazi hadi ukaomba kazi ya sensa bado nawe ni mtu wa hovyo.Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
yaani nakushangaa wewe unaye waona wenzio hawana akili wakati wewe huna akili zaid yao! tena wewe ndiye mjinga wa kwanza kwa sababu moja ya kanuni ya sensa ni utunzaji wa SIRI, na utunzaji huo wa siri unaanzia ndani ya mafunzo lakini wewe umeshindwa kuwa msiri matokeo yake umeanza kuleta mambo ya sensa mitandaoni hivi unajionaje una akili hapo.Nipo Sehemu X