Pole Mkuu, kwa kweli Dada zetu wameliwa hasaaaa!wewe unaona ajabu katita hilo wakati Ex wangu ametoa rushwa ya ngono kwa kizee kiongozi ilimradi achaguliwe kwenye ukarani wa sensa ukiangalia huyo binti bado mdogo miaka 19 anaelekea 20 hawalingali nahicho kizee, hii Dunia ni ngumu sana , tupo kwenye mfano wa sodoma na gomora
Unajua nyie huwa mnashangaza sana, kama unatembelea page za udaku unategemea kukuta vijana wenye akili? Hapa JF uko unazurura kwenye nyuzi za kimasihara halafu utegemee kukuta vijana wanatema nondo?Kiasi fulani unasema kweli ukisikiliza maoni vijana wa kenya na Tz ni tofauti kabisa...
Hata kwenye page za social media vijana wa Tz wana shida mpaka unajiuliza huyu mtu kweli ni baba au mama katikati familia fulani
Sasa hapo unaeblame ni vijana au mfumo mzima wa maisha ndio unawafanya wanakuwa hivyoo ..Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
Nimesoma kwa umakini mkubwa nione hoja zako, nikagundua wewe ndiye kiazi sana.Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
PatheticNimedoma kwa umakini mkubwa nione hoja zako, nikagundua wewe ndiye kiazi sana.
Kuvaa nguo fupi au unazoita uchi ndio kutokuwa na akili?
Wazungu hutembea na chupi nao ni viazi?
Wakebya wanaa nusu uchi nao ni vilaza?
Hebu tetea hoja yako vizuri
Wewe hulagi?Pole Mkuu, kwa kweli Dada zetu wameliwa hasaaaa!
na ndio maana ikaitwa siri kwa sababu hitakiwi kujua kinacho fichwa.Siri, mnaficha nini?
Utaletewa mimba zaidi ya moja kaa kijanja kizazi cha laana iki hatujui izi tabia zinatokea wapi maana kuna mpaka viongozi wa umma Tena wawakilishi wa rais katika mikoa na wilay wanafanya mambo ya ajabu kupeana mimba kihasara hasara tuNi kweli ndyo maana mm mtoto wangu akikua namchana kabisa ukipata mimba kwangu utafute pa kwenda akili kichwani mwake
Vijana wa Tanzania huwaza mgegedo zaidi kuliko ufumbuzi wa matatizo yao, au nasema uongo jamani?Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
Hayana ndio maana ikaitwa siri kwa sababu hitakiwi kujua kinacho fichwa.
Familia Wana asilimia 75 za kutengeneza kijana wa kike na wakiume wanaojitambua. Familia ni taasisi kubwa sana