NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Ni uzi maalum kwa kumbukumbu
Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo.
Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa na matukio ya kupanchi na kupangua vipapai, flani akipanchi mwenzake asipotia guard inakula kwake, nae akienda kukipangua na kikiweza kupanguka kinarudi kwa alietuma, na mwendelezo huendelea.
Ni wachezaji wapi wengine waliwahi kuhusika kwenye hizi mambo >