Mbona alithibitisha kapombe mwenyewe?Kumbe humu kuna watu wana akili ndogo kiasi hiki.
Kusema ukweli hata kama ni kukosa akili lakini kuna mambo ambayo kama mtu mzima hutakiwi kuropoka mana hakuna anayejua impact yake huko baadae,
Unadhani kwa maneno haya huko klabuni wachezaji watakuwa wanajisikiaje, mbona naona huu ni ugombanishi!, Umethibitisha wapi kwamba wanarogana mpaka upate nguvu ya kuleta hapa.
Ukifanyiwa vitu kama hivi utafurahi?.. ndugu zangu tuwe na busara sio kila kitu ni cha kuongea.
Wapi?, lete ushahidi akisema mwenda anamroga!Mbona alithibitisha kapombe mwenyewe?
Ha ha ha sio kila kitu kinasemwa mkuu.Wapi?, lete ushahidi akisema mwenda anamroga!
Kama huwezi kuthibitisha basi kaa kimyaHa ha ha sio kila kitu kinasemwa mkuu.
Kapombe Alisha thibitisha Hadharani Kwaiyo isi kuumize kichwa,wenye Simba Yao wanaifahamu ilo na mpaka Sasa linawapa shida kwenye maamuzi kwakua linahitaji hekima iliyo tukuka.Kama huwezi kuthibitisha basi kaa kimya
Lete ushahidi wa kapombe kuthibitishaKapombe Alisha thibitisha Hadharani Kwaiyo isi kuumize kichwa,wenye Simba Yao wanaifahamu ilo na mpaka Sasa linawapa shida kwenye maamuzi kwakua linahitaji hekima iliyo tukuka.
Ingia u tube fatilia mahojiano ya Shomari kapombe na waandishi wa habari baada ya mechi ya Simba na Ihefu iliyofanyika pale Kwa Mkapa.Lete ushahidi wa kapombe kuthibitisha
πππ Zimbwe kiboko. Kuna kipindi Fulani walianza kumvalisha kapombe beji ya unahodha na yeye yupo uwanjani. Kilichofata ni majereha makubwaKuna mkaguzi wa viwanja kabla ya mechi. Anaitwa Gadiel Michael. Huyo dogo na utaalam wake wote, ameshindwa kutia mguu kwa mpinzani wake; Zimbwe Jr.