Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Watu wasioheshimu hata maiti za raia wanaowakata kodi. Wanawazika usiku kwa vitisho na bila heshima yoyote.

Wakifa ni faida kwa nchi na ulimwengu. Huwezi ukafanya ukatili halafu utegemee watu wakupende. Nature does not work that way.
Tena wakifa wao ji sherehe. Najua Pasco amechikoza tu lakini ujumbe wake umefika wanaoelewa tumemwelewa.
 
Paschal, nilikuwa nakuheshimu sana lakini kwa uzi wako wa leo! Bora ufe kwa corona. Chakubanga aliwafananisha wapinzani na corona, Bashite alimshukuru Mungu mtoto wa Mbowe kupatwa na corona lakini haukupanua mdomo wako kama pasi ya mkaa kukemea huu ushetani.
 
Ungewaombea kwanza wale waliopoteza watanzania wenzetu kama Ben sanane na eg nk. Pia usisahau wale.waliouawa na kutupwa ufukweni na waliopanga kumuu Lissu
 
Na bado tukutane kwenye sanduku la kura tutawaonesha kwa uwazi kuwa tumewakataa, mjiandae kuiba na kupika data lakini ukweli mtakuwa mmeufahamu kuwa hamtakiwi!

Chuki mmeipanda wenyewe haiwezekani mtu mzima na akili zake aweke kwenye uzani mmoja maisha ya watu na uchumi wa nchi, kwa akili ndogo za mtu yeyote mwema angeelewa kuwa uhai wa watu ulitakiwa ulindwe kwa gharama zozote sababu ukipotea haurudi.

Haiwezekani yanachangwa mabilioni badala ya kutumika kwa namna ilivyokusudiwa mpaka sasa hayajulikani yalipo na yanafanya kazi gani wahudumu wa afya wanafanya kazi katika mazingira hatarishi, practically yeye amewaombea wahudumu wetu wa afya kifo, mnataka tuwachekee?
 
Ndg paskali hongera kwa kuliona hili. Mitandaoni kumejaa watanzania waodhani kuwa wao ni zaidi ya binadamu wasiokuwa na Damu wala mwili wa nyama. Cha ajabu zaidi wanadhani huo ndio uzalendo, wenye akili zaidi kuliko watanzania wote, waamini kila wazi lao ndio sahihi.

Furaha yao ni matusi na kejeli kwa wanzao.
Wasomi wasomi kweli wajuzi wa kila fani.
Sijui tatizo ni vielimu vyetu hivi!!!!.

Wakati wa majanga tulipaswa ongea lugha moja. Mungu tusaheme waja wako tunusuru na janga hilo.
 
Waliomchangia Tundu Lissu ni wasamaria wema.
Ccm ni mashetani.
 
Pascal hivi ikitokea lile dude lililoagiza Lissu akatolewe uhai likabinuliwa na COVID-19 na kisha likazikwa kimyakimya utajisikiaje?
 
Bila Shaka PPaskal Leo umejifunza kitu,huu ndio mtazamo wa Watumiaji Jf...kukuongezea nunua Nakala ya Raia Mwemaya Tarehe 29.4.2020 umsome Prof Shivji utafikiri amesummarize maoni ya wadau kwenye bandiko lako
 
Krikichino,
Polepole alipowafanisha wapinza na corona kuna mchango gani uliutoa humu ndani? Hebu kamsalimie mwanasheria nguli Albert Msando aliyemwandikia barua Pompeo kwamba tz Freedom of expression imetamalaki na sasa yeye ananyea debe baada tu ya kutamka.

Hali ni tete juu ya COVID-19, msidhani shetani anachagua atakula nyama ya mwili wako huku ukimshangilia ukidhani atakuachia.

Wapinzani lazima tufurahi kwani tumefundishwa ukatili na watesi wetu na upinzani ndio 'SI unit' ya mateso katika taifa hili.
 
Akuanzae mmalize tatizo ni roho mbaya walioanzisha wakubwa ... Hivi mejaribu kuangalia kwa jicho la upande wa pili hivi unaanzaje kutuma watu wampige risasi mwenzio ili afe???

Unaanzaje kumdhulumu mafao yake achalia mbali kumnyang'anya tonge lake kwa hila hivi unategemea mtu Kama huyo Mimi ntamuombea mema???

Wallahi naomba korona iwasombe woote hasa yule wa kule ndio ianze nae hapo jee

Umesikia huko au tuongeze sauti !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal mimi natamani yafuatayo; kwakuwa sina uwezo na madaraka natamani lile jopo lililokaa na kuona suluhisho la kumdhibiti Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni kumtwanga Risasi COVID-19 iwapitie, wale waliotafuta upenyo wa kibabe wa kukwepa kumlipia Lissu gharama za matibabu na akati anastahili hadi mimi na umasikini wangu nikakopa na kutuma Tsh1,000,000/= kama mchango wa dhati ya moyo wangu ili Lissu apatiwe matibabu ya kuokoa uhai wake nasema COVID-19 ikiwa na jina la Yesu ndani yeke pamoja na moto wa maserafi na makerubi ikawapige hao wauaji kama upepo wa kisulisuli.

Wale waliohusika kuua na kufunga miili ya watz kwenye sandarusi na kwenda kuitupa mto Ruvu na wengine kwenye fukwe za bahari nasema COVID-19 popote ulipo kawapitie hawa wasaidizi wa Lucifer watangulie kabisa kule kwenye ziwa la moto.

Haiwezekani ktk nchi hii kuwe na watu wenye mamlaka ya kutoa uhai wa watu halafu tusio na uwezo wa kuwafanya chochote tushindwe hata kumuomba Mungu au shetani kuwasulubisha.

Pamoja na kwamba kisulisuli kilishindwa kuwabeba wanaume wa kuwaoa wale mabinti wa kanisa la mlima wa moto pendine ni kwa sababu ya uzito wao lakini bado nakiamini kisulisuli hakiwezi kushindwa kuwabeba COVID-19 na kwenda kuwafanyia INOCULATION hao niliowataja hapo juu.
Haiwezekani watu watekeleze mauaji ya watz wenzetu halafu bado tuendelee kuwasifia kisa teuzi, wapitie huu uzi hapa ili wajue kuwa hatuwapendi kwa matendo yao.

Kuna hawa wadudu wengine wanaitwa wasiojulikana ikitokea COVID-19 ikawasafisha pamoja na vizazi vyao Pascal huoni kama hii itakuwa ni baraka kutoka kwa Mnyazi Mungu kwa kutupunguzia watu wenye roho mbaya za Black Mamba a.k.a Koboko (Dendroaspis polylepis) au Anaconda a.k.a Water boa or Bull killer kama wataalam wanavyomfaham kwa jina la Eunectes murinus.

Nikipata bahati ya kuipata AK47 ikiwa loaded halafu nikaonyeshwa kwamba huyu ndiye aliyemfyatulia risasi Lissu Pascal otea nini kitatokea? Kama niliyoyasema hapo juu ni uongo na kwamba hao hawahusiki na madhila husika basi namkaribisha ZRAIL nyumbani aje anisalimie na si vinginevyo.
 
Pascal katazo lako hili lingeanzia kwa Akina Kubenea kuvamiwa na kumwagiwa tindikali, kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka kulikoongozwa na bwana Ramadhani Ighondu, kuuawa kwa Daudi Mwangosi.

Kupotea kwa Mwandishi mwenzio Azory Gwanda, kupotea kwa Ben Saanane, Kupigwa Risasi Tundu Lissu, Miili kwenye sandarusi etc, etc, etc nadhani WABAYA WETU WANGEPUNGUZA MAUAJI YA KISHAMBA
 
Ile video inayomuonyesha Bulembo akiropoka Bungeni kwamba Mh Zitto apigwe risasi maana ni msaliti huku mama Rwakatare akigonga meza kuunga mkono hoja...nani mwenye akili timamu atawaonea huruma wafe tu kwanza ndio sababu ya umasikini wa nchi hii...
 
Swelana, Kampuni zilizotoa fedha ni uzembe tu wa kufikiri.

Wanashindwa kupeleka vifaa kwa nini?

Ukikuta kwenye corporate social responsibility policy hawana hizo mambo.

Lakini leo kujipendekeza wanapeleka fedha.



Sent using iphone pro max
 
Mkuu upo sahihi kabisa kumwombea binadamu mwenzako mabaya, ila jiulize pia watu hao wamefikaje huko? Huenda wameteswa na hao na wasiwe na kufanya, hivyo kwao corona wanaona ndo siraha maana haibagui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kuombea tu wengine kulitamka wazi kwenye chombo kitakatifu cha kutunga "Amri Kuu za Nchi" kusababishia mama yetu RlP Rwaka kushikwa na bumbuwazi hadi kushangilia bila kujielewa naimani MAMA alifanya misa ya Toba

Hapo Pasco una wekaje kwanini Taifa halikulaani sehemu yetu takatifu (Bunge) kunajisiwa na mshika fimbo Mussa wetu kukaa kimya hatuoni ni laana Bunge asubuhi linaanza kwa sala katikati Bulembo analeta ushetani tunacheka as if ni sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…