Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Siku zile Magufuli anawazuwia wana-CCM kumjulia hali Tundu Lissu hamkutia neno. Chuki inayopandikizwa kila kukicha na akina Musiba hamuioni. Lakini matunda ya chuki hiyo yakianza kuonekana, mnataharuki. Mmepanda chuki mnavuna chuki. It is that simple. Unatarajia Polepole aliyewafananisha Wapinzani sawa na korona akitokea kukumbwa na janga hilo wapinzani watamhurumia? Je Bashite aliyezunguka Dar nzima kutangaza kuugua korona kwa mtoto wa Mbowe akumbukwe kwenye sala za wananchi muda huu anaugulia korona aliyokuwa akiifanyia mzaha? Au Magufuli huyu anayedai korona inatibiwa kwa mvuke huku mamia ya watu wanaangamia na kuzikwa kibudu usiku unataraji wahanga wa utawala wake wamsombee mema?

Ndugu Paskali, huwezi kupanda maputo (balloons) ardhini ukategemea kuvuna matikitimaji.

Mskie huyu akikumbwa na korona kuna atakayemhurumia? [emoji116]
Paskali uko wapi ndugu yangu? Njoo huku unatakiwa kuendelea na mjadala wa mada uliyoanzisha !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness imewakuta Watanzania wenzetu!. Huu sio utu, sio ubinaadamu, ni ushetani!

Unaweza usiamini hili ninaloandika hapa lakini ni kweli kabisa, wakati dunia ikihangaika na janga la ugonjwa wa Corona linaliitesa dunia nzima tukiwepo sisi Tanzania, kuna baadhi ya wenzetu humu mitandaoni utu na ubinaadamu umewatoka wamekuwa sio watu tena, sio binaadam bali ni mashetani kwa kuombea wenzao sio tuu wapate Corona, bali wapate Corona na wafe kwa vifo vya Corona!. I just can't believe this can happen kwa Mtanzania!

Hili nimelishuhudia humu jf na mitandao mingine baadhi ya wenzetu waki andika ku wish wenzao wapate Corona na wafe kwa Corona kwa kuwataja kabisa kwa majina mimi nikiwa ni mmoja wao.

Lengo la bandiko hili sio mimi kulamika kuwa kuna watu wananitaka nipate Corona, bali kuna watu very wicked wana wish viongozi wetu fulani fulani wafe kwa Corona!

Mimi ni miongoni mwa Watanzania wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology ni uwezo wa kusoma maandishi ya watu, kisha ukabaini mwandishi alimdhamiria nani afe, japo huyo mwandishi anaweza kuwa hakuandika kwa kumtaja jina expressly kuwa nataka fulani afe kwa Corona, lakini kupitia uwezo huo wa graphology, then unatambua impliedly aliyedhamiriwa ni nani!.

To wish someone specific afe kwa Corona ni highest stages of wickedness, Watanzania siku zote ni watu wenye upendo, tunapendana na tunawapenda viongozi wetu, na hata chama chetu japo tunakilalamikia sana humu mitandaoni kuwa ndicho chanzo cha umasikini na madhila yote yanayolikuta taifa letu, lakini in reality, tunakipenda sana na kila mwaka huwa tunakichagua tena mwaka hadi mwaka, tunakichagua tena na tena, sasa iweje binadamu wenzetu, Watanzania wenzetu kuingiwa na roho ya ushetani wa ajabu kwa kuwa na wishful thinking ya kuombea fulani afe kwa Corona?.

Ajabu kubwa zaidi ni idadi ya members watakao toa likes kwa huyo mtu, inaonyesha jinsi tulivyo na kundi kubwa Watanzania wenzetu ambao ni wicked kwa kusupport hizo wicked ideas!

Swali la kujiuliza hivi ni kweli Watanzania tumefika hapa kuombeana vifo vya Corona?. Huu ni utu, ni Ubinaadamu au ni ushetani wa ajabu?.

Hivi kweli sisi Watanzania tumefikia stage ya kuishi na binadamu wenzetu wenye mawazo ya kishetani kama haya halafu tunaishi nao na wengine tunawapongeza?

Ingekuwa kitu mtu anachokiwaza kinaandikwa kwenye paji la uso wake, hivyo nikikuambia ufunge macho na kuwish ulitaka mtu gani afe kwa Corona, amini usiamini, watu tungekuwa surprised kukuta mke ana wish mume ndio afe, mume ana wish mke ndio afe na nikiuliza ungewish kiongozi gani afe kwa Corona, majibu yangekuwa yanaandikwa usoni!, ungeweza usiamini!

Tiba Nambari One Duniani ni Imani, yaani faith, kwa janga kama la Corona ili liishe na lisilete madhara makubwa na maafa kwa Tanzania na duniani kwa ujumla, ni kama Watanzania na watu wote, tuta wish kwa dhati ya mioyo yetu hili janga Mungu alipishie mbali, lakini kitendo cha wengine tunasali, na kumuomba Mungu atuepushe na janga la Corona, huku kuna wenzetu wengine wao waki wish fulani apate Corona afe, kunapunguza nguvu ya sala zetu, huu sio Ubinaadamu, sio utu, ni ushetani!.

Ingekuwa dua ls kuku linampata mwewe, saa hizi siku nyingi.
Ingekuwa historia.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wasamehe Watanzania wenzetu waliomkaribisha shetani ndani yao na umtume Roho Mtakatifu wako, awasafishe na kuwatakasa with their evil thoughts and wickedness na kuliepusha taifa letu na janga la Corona.

Amen.

Paskali
Paskali Jamii iliyojaa chuki Ni hatari mno lolote laweza kutokea .Chuki ktk Jamii Ni zao la kutotenda Hali!Haya Ni matokeo

Paskali haya Ni matokeo ya mgawanyiko mkubwa ktk Jamii..unaostawishwa na kutotenda haki!

Na Hali ikiendelea hivi huu Ni mwanzo tu...
Ulishawi wafikiria watoto wa Alfonce mawazo.

Been Saanane
Au risasi za tundu Lisu!
Au fikiria ndg yako amekufa ,anafukiwa unakatazwa hata kupiga picha uweke kumbukumbu!
We acha bana Binadamu Ni Complex Animal
Tutende haki kwa wote muda wote...au Tukemee maovu bila Hofu na kwa Haki!
 
Sijaona Pasko akitoa comment hata moja kwenye hii mada aliyoianzisha masaa 2 yaliyopita!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.
Give this man Oscar award, grammy award, Ballon Do'r, FIFA best player, Kili Music Aaward , tuzo zote za filamu zetu , you know why ?? mistari yako minne tu imelichachafya gazeti la kujikomba la Mayalla unalosoma unalala unaamka unasoma tena unalala unamka bado humalizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.
Kweli Bulembu mtu mzima tena bungeni mbona hakukemewa?
 
Vyama Pinzani ndo wana tabia hiyo.

Kuna kile kipindi TBC ilisemekana wamepata Corona yaaani watu walikuwa wanashabikia kabisa oooh wakome, wajifunze maneno kibao, tena wakasema bora wapate maana ake Lissu alivyopigwa risasi TBC hawakuripoti.

Kinachoshangaza zaidi mtu anayesema hivyo nae anaenda kwa nyumba ya ibada au kabla ya kuingia kitandani anasali. Pathetic.
Kwani unafikiri wasiojulikana,wanaoteka watu,waliompiga Lissu risasi nk hawaendi kwenye Nyumba za ibada?Tuwe wakweli,hali hii ni Matunda ya mti uliopandwa 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness imewakuta Watanzania wenzetu!. Huu sio utu, sio ubinaadamu, ni ushetani!

Unaweza usiamini hili ninaloandika hapa lakini ni kweli kabisa, wakati dunia ikihangaika na janga la ugonjwa wa Corona linaliitesa dunia nzima tukiwepo sisi Tanzania, kuna baadhi ya wenzetu humu mitandaoni utu na ubinaadamu umewatoka wamekuwa sio watu tena, sio binaadam bali ni mashetani kwa kuombea wenzao sio tuu wapate Corona, bali wapate Corona na wafe kwa vifo vya Corona!.

Hili nimelishuhudia humu jf na mitandao mingine baadhi ya wenzetu waki andika ku wish wenzao wapate Corona na wafe kwa Corona kwa wengine kuwataja kabisa kwa majina mimi nikiwa ni mmoja wao na wengine kuwataja kwa majina ya utani au hata bila kutaji jina ula unajua ni nani!.

Lengo la bandiko hili sio mimi kulalamika kuwa kuna watu wananitaka nipate Corona, kwasababu mimi ni nobody, hata nikichomoka na Corona, it's only my wife, my kids na my family ndio wata suffer, bali kuna watu very wicked wana wish viongozi wetu fulani fulani wafe kwa Corona, kutokana na positions za hao viongozi, ikitokea kweli wakachomoka kwa Corona, taifa tuta suffer kwa kupigwa na double tragedy!.

Mimi ni miongoni mwa Watanzania wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology ni uwezo wa kusoma maandishi ya watu, kisha ukabaini mwandishi alimdhamiria nini, hata akiandika neno "bora tuu afe kwa Corona ", bila kumtaja ni nani, kupitia graphology unajua ni nani alidhamiriwa afe!, japo huyo mwandishi anaweza kuwa hakuandika kwa kumtaja jina expressly kuwa nataka fulani afe kwa Corona, lakini kupitia uwezo huo wa graphology, then unatambua impliedly aliyedhamiriwa ni nani!.

To wish someone specific afe kwa Corona ni highest stages of wickedness, Watanzania siku zote ni watu wenye upendo, tunapendana na tunawapenda viongozi wetu, na hata chama chetu japo tunakilalamikia sana humu mitandaoni kuwa ndicho chanzo cha umasikini na madhila yote yanayolikuta taifa letu, lakini in reality, tunakipenda sana na kila mwaka huwa tunakichagua tena na tena mwaka hadi mwaka, na kama janga la Corona halitadumu muda mrefu na kuleta madhara makubwa, then mwezi October, 2020, tunakichagua tena, sasa iweje binadamu wenzetu, Watanzania wenzetu kuingiwa na roho ya ushetani wa ajabu kwa kuwa na wishful thinking ya kuombea viongozi wetu fulani fulani tegemewa, wafe kwa Corona?!.

Ajabu kubwa zaidi ni idadi ya members watakao toa likes kwa huyo mtu, inaonyesha jinsi tulivyo na kundi kubwa Watanzania wenzetu ambao ni wicked kwa kusupport hizo wicked ideas!, na kipimo rahisi kwa mashetani hawa, utakiona kwenye uchangiaji kwenye hili bandiko.

Swali la kujiuliza hivi ni kweli Watanzania watu tuliiokuwa na upendo wa ajabu zaidi hata ya upendo wa mshumaa, wa kumulikia wengine huku kwako unateketea, sasa tumefika hapa kuombeana vifo vya Corona?. Huu ni utu, ni Ubinaadamu au ni ushetani wa ajabu?.

Hivi kweli sisi Watanzania tumefikia stage ya kuishi na binadamu wenzetu wenye mawazo ya kishetani kama haya halafu tunaishi nao tukiendelea kula nao, kunywa nao na kulala nao na wengine hadi tunawapongeza!, hivi ushetani huu unatofauti yoyote na ule ushetani wa Sodoma na Gomorrah?!.

Ingekuwa kila kitu mtu anachokiwaza kinaandikwa kwenye paji la uso wake, hivyo nikikuambia ufunge macho na kuwish ulitaka mtu gani afe kwa Corona, amini usiamini, watu tungekuwa surprised kukuta mke ana wish mume ndio afe, mume ana wish mke ndio afe na nikiuliza ungewish kiongozi gani afe kwa Corona, majibu yangekuwa yanaandikwa usoni!, watu mngeshanga na ungeweza usiamini!.

Tiba Nambari One Duniani ni Imani, yaani faith, kwa janga kama la Corona ili liishe na lisilete madhara makubwa na maafa kwa Tanzania na duniani kwa ujumla, ni kama Watanzania na watu wote, ikiwa wote tuta wish kwa dhati ya mioyo yetu kumuomba Mungu kwa dhati, alipishie mbali, hili janga la Corona, lakini kitendo cha wengine tunasali, na kumuomba Mungu atuepushe na janga la Corona, huku kuna wenzetu wengine wao waki wish fulani apate Corona afe, kunapunguza nguvu ya sala zetu, huu sio Ubinaadamu, sio utu, ni ushetani!.

Hala hala kwa mashetani hawa, ingekuwa dua ls kuku linampata mwewe, saa hizi siku nyingi kuna watu tungekuwa ni historia, lakini Mungu sio Athumani, kila mtu atakufa siku yake Mungu aliyompangia tena kwa kifo kile kile mtu ulichopangiwa, kama mtu umepangiwa kufa kwa Corona, utakufa tuu kwa Corona and no one can do anything kuzuia, ili kitendo cha mtu kumwish mtu fulani afe kwa Corona, sheria ya karma my act kwa kanuni ya what goes around, comes around, wakati uki wish fulani afe kwa Corona, karma may act upon you na ku reverse your wishes on opposite directions, hiyo wish ikakurudia wewe na familia yako!.
Tupendane wandugu, na tuwishiane mema!.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wasamehe Watanzania wenzetu waliomkaribisha shetani ndani yao na umtume Roho Mtakatifu wako, awasafishe na kuwatakasa with their evil thoughts and wickedness na kuliepusha taifa letu na janga la Corona.

Amen.

Paskali
Chuki hii imetokana na nini?
Watawala wametufikisha hapa
Watawala waliamini kifo ni cha wale sio wao
Awamu ya 5 ijitafakari sana
Tunawalilia maskini na mwananchi wa kawaida
Acheni wafu wawazike wafu wao
 
Alipopote ben, mlikasirika?
Mlipompiga risasi lissu mlikasirika?
Kinyweeni kikombe hiki pamoja na vizazi vyenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niletee uthibitisho wa mimi kufurahia hayo matukio...halafu unaandika kama hili janga lishaninyoosha mimi ilhali halijaingia hata 18 zangu...,kinachonisikitisha ni vifo ndani ya Tz na duniani kote.., hivyo nakuona kama mpuuzi tu uliyekosea njia.
 
CCM ndo inafundisha kuombea wenzako wapate Korona?
Hivi mara zoote wanaccm wanapodhihaki matatizo yanapowapata wanaofikiria tofauti nao au hata vifo huwa hamuwaoni au huwa mnajitoa ufahamu ?, tunasema acha wafe tu na covid19 ili waende wakaungane na waliowatanguliza huko ahera kama akina Mawazo na wengineo
 
Hili jambo nimeliona sana humu...Achana na hilo, kuna wengine hata nyuzi za tanzia wanaonekana kufurahia....limenistaajabisha sana hili.
Niambie ni lini uliwahi kukemea wanaofurahia watanzania wenzao kupigwa risasi na kufa, kupotezwa wasionekane milele, kufungwa kwa sababu za kisiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.
ONGEZA SAUTI.
ONGEZA SAUTI.
ONGEZA SAUTI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom