Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Pascal Mayalla,
My friend the culture is made, the culture is born, the culture is groomed! There is culture of sadism in Tanzania born, groomed and mentored to fellow humans by the existing regime.

1. Remember this: A fellow Tanzanian, a human being, a member of parliament was shot 16 times. There was an National and international international effort trying to rescue the life of the person!

We, the poor colleagues who did not have anything opted to pray and even to donate our own blood!

This very regime of creatures (humans?) banned prayers, Banned blood donations!
Denied him his constitutional rights even being treated?!

2. Remember this: 17 abductions that have not been granted legal investigation todate! Just because there fellow citizens but alas opposition? semi humans!

3. Remember this: 300 body bags being collected at the indian ocean shores without explanations and this going concomitant with the disappearances of our colleagues at the MKIRU alias Mkuranga, Kibiti and Rufiji.

4. Remember this: One prudent journalist tried to investigate the famous MKIRU masacre and guess what happened to him? It was a state vehicle that collected him to somewhere unknown to date! And you know what his wife is being promised by state apparatus that he will show up "soon"!!

I repeat: You do not look superficially at the symptoms of the problem but the root causes!
You know where to go now kindly go and do your investigation WHY all this sadism????

AND by the way! Now we are asked to pray for covid19. Can some one tell me the type of god (GOD) who can be ordered that, now it is the time of intercession and this time for this persons (Gods own creatures) No! let him die.
Now you know who the Devils incarnate are!
 
Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.
Hao nao sijui tutawaitaje?Wanateka,wanashambulia kwa silaha mbalimbali na wanaua halafu wamepewa jina lao wasiojulikana.Siyo OCD,RPC,IGP,DGI,CDF hadi President wote wameshindwa kuwa identify au kutuambia ni kina nani hawa wababe?
Ukiona wanaombea maradhi ni kuwa wapo desperate na wamekata tamaa.Usiwahukumu,maybe sana jambo.
 
Personally hua naamini binadamu Ni mtu mwema
Ubaya unakuja pale ambapo anatendewa ndivyo sivyo

Hizi chuki Ni response ya chuki zilizotengenezwa na Mambo yanayotokea.
Ni mavuno ya mazao yalopandwa

Au umesahau in nature binadamu Ni mnyama ukimtendea unyama lazima nayeye akupe response ya unyama wake hata Kama sio kwa muda huo huo
 
Wanabodi,

Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness imewakuta Watanzania wenzetu!. Huu sio utu, sio ubinaadamu, ni ushetani!

Unaweza usiamini hili ninaloandika hapa lakini ni kweli kabisa, wakati dunia ikihangaika na janga la ugonjwa wa Corona linaliitesa dunia nzima tukiwepo sisi Tanzania, kuna baadhi ya wenzetu humu mitandaoni utu na ubinaadamu umewatoka wamekuwa sio watu tena, sio binaadam bali ni mashetani kwa kuombea wenzao sio tuu wapate Corona, bali wapate Corona na wafe kwa vifo vya Corona!. I just can't believe this can happen kwa Mtanzania!

Hili nimelishuhudia humu jf na mitandao mingine baadhi ya wenzetu waki andika ku wish wenzao wapate Corona na wafe kwa Corona kwa kuwataja kabisa kwa majina mimi nikiwa ni mmoja wao.

Lengo la bandiko hili sio mimi kulamika kuwa kuna watu wananitaka nipate Corona, bali kuna watu very wicked wana wish viongozi wetu fulani fulani wafe kwa Corona!

Mimi ni miongoni mwa Watanzania wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology ni uwezo wa kusoma maandishi ya watu, kisha ukabaini mwandishi alimdhamiria nani afe, japo huyo mwandishi anaweza kuwa hakuandika kwa kumtaja jina expressly kuwa nataka fulani afe kwa Corona, lakini kupitia uwezo huo wa graphology, then unatambua impliedly aliyedhamiriwa ni nani!.

To wish someone specific afe kwa Corona ni highest stages of wickedness, Watanzania siku zote ni watu wenye upendo, tunapendana na tunawapenda viongozi wetu, na hata chama chetu japo tunakilalamikia sana humu mitandaoni kuwa ndicho chanzo cha umasikini na madhila yote yanayolikuta taifa letu, lakini in reality, tunakipenda sana na kila mwaka huwa tunakichagua tena mwaka hadi mwaka, tunakichagua tena na tena, sasa iweje binadamu wenzetu, Watanzania wenzetu kuingiwa na roho ya ushetani wa ajabu kwa kuwa na wishful thinking ya kuombea fulani afe kwa Corona?.

Ajabu kubwa zaidi ni idadi ya members watakao toa likes kwa huyo mtu, inaonyesha jinsi tulivyo na kundi kubwa Watanzania wenzetu ambao ni wicked kwa kusupport hizo wicked ideas!

Swali la kujiuliza hivi ni kweli Watanzania tumefika hapa kuombeana vifo vya Corona?. Huu ni utu, ni Ubinaadamu au ni ushetani wa ajabu?.

Hivi kweli sisi Watanzania tumefikia stage ya kuishi na binadamu wenzetu wenye mawazo ya kishetani kama haya halafu tunaishi nao na wengine tunawapongeza?

Ingekuwa kitu mtu anachokiwaza kinaandikwa kwenye paji la uso wake, hivyo nikikuambia ufunge macho na kuwish ulitaka mtu gani afe kwa Corona, amini usiamini, watu tungekuwa surprised kukuta mke ana wish mume ndio afe, mume ana wish mke ndio afe na nikiuliza ungewish kiongozi gani afe kwa Corona, majibu yangekuwa yanaandikwa usoni!, ungeweza usiamini!

Tiba Nambari One Duniani ni Imani, yaani faith, kwa janga kama la Corona ili liishe na lisilete madhara makubwa na maafa kwa Tanzania na duniani kwa ujumla, ni kama Watanzania na watu wote, tuta wish kwa dhati ya mioyo yetu hili janga Mungu alipishie mbali, lakini kitendo cha wengine tunasali, na kumuomba Mungu atuepushe na janga la Corona, huku kuna wenzetu wengine wao waki wish fulani apate Corona afe, kunapunguza nguvu ya sala zetu, huu sio Ubinaadamu, sio utu, ni ushetani!.

Ingekuwa dua ls kuku linampata mwewe, saa hizi siku nyingi.
Ingekuwa historia.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wasamehe Watanzania wenzetu waliomkaribisha shetani ndani yao na umtume Roho Mtakatifu wako, awasafishe na kuwatakasa with their evil thoughts and wickedness na kuliepusha taifa letu na janga la Corona.

Amen.

Paskali
Send back to the sender or just be at peace and forgive them for they no not what they are doing!
 
Leo Paskali atafahamu kuwa kila mwanadamu ana damu nyekundu wala sio vinginevyo. Maana kuna walioamini kuwa majeshi yatawalinda dhidi ya COVID-19.
 
Wengine Hawa apa wamepewa kazi ya kuzka watu wanao kufa kwa Corona kina MBOWE utasema wanawazia matako Yan mtu et serekal inaficha ila wao wanajua sababu wao ndio wanazika IV mbowe mtaacha siasa Lin na kudanganya watu ao watanzania wanao kufa kwa ma mia wako wap? Na mliwazikia wap
Wanabodi,

Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness imewakuta Watanzania wenzetu!. Huu sio utu, sio ubinaadamu, ni ushetani!

Unaweza usiamini hili ninaloandika hapa lakini ni kweli kabisa, wakati dunia ikihangaika na janga la ugonjwa wa Corona linaliitesa dunia nzima tukiwepo sisi Tanzania, kuna baadhi ya wenzetu humu mitandaoni utu na ubinaadamu umewatoka wamekuwa sio watu tena, sio binaadam bali ni mashetani kwa kuombea wenzao sio tuu wapate Corona, bali wapate Corona na wafe kwa vifo vya Corona!. I just can't believe this can happen kwa Mtanzania!

Hili nimelishuhudia humu jf na mitandao mingine baadhi ya wenzetu waki andika ku wish wenzao wapate Corona na wafe kwa Corona kwa kuwataja kabisa kwa majina mimi nikiwa ni mmoja wao.

Lengo la bandiko hili sio mimi kulamika kuwa kuna watu wananitaka nipate Corona, bali kuna watu very wicked wana wish viongozi wetu fulani fulani wafe kwa Corona!

Mimi ni miongoni mwa Watanzania wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology ni uwezo wa kusoma maandishi ya watu, kisha ukabaini mwandishi alimdhamiria nani afe, japo huyo mwandishi anaweza kuwa hakuandika kwa kumtaja jina expressly kuwa nataka fulani afe kwa Corona, lakini kupitia uwezo huo wa graphology, then unatambua impliedly aliyedhamiriwa ni nani!.

To wish someone specific afe kwa Corona ni highest stages of wickedness, Watanzania siku zote ni watu wenye upendo, tunapendana na tunawapenda viongozi wetu, na hata chama chetu japo tunakilalamikia sana humu mitandaoni kuwa ndicho chanzo cha umasikini na madhila yote yanayolikuta taifa letu, lakini in reality, tunakipenda sana na kila mwaka huwa tunakichagua tena mwaka hadi mwaka, tunakichagua tena na tena, sasa iweje binadamu wenzetu, Watanzania wenzetu kuingiwa na roho ya ushetani wa ajabu kwa kuwa na wishful thinking ya kuombea fulani afe kwa Corona?.

Ajabu kubwa zaidi ni idadi ya members watakao toa likes kwa huyo mtu, inaonyesha jinsi tulivyo na kundi kubwa Watanzania wenzetu ambao ni wicked kwa kusupport hizo wicked ideas!

Swali la kujiuliza hivi ni kweli Watanzania tumefika hapa kuombeana vifo vya Corona?. Huu ni utu, ni Ubinaadamu au ni ushetani wa ajabu?.

Hivi kweli sisi Watanzania tumefikia stage ya kuishi na binadamu wenzetu wenye mawazo ya kishetani kama haya halafu tunaishi nao na wengine tunawapongeza?

Ingekuwa kitu mtu anachokiwaza kinaandikwa kwenye paji la uso wake, hivyo nikikuambia ufunge macho na kuwish ulitaka mtu gani afe kwa Corona, amini usiamini, watu tungekuwa surprised kukuta mke ana wish mume ndio afe, mume ana wish mke ndio afe na nikiuliza ungewish kiongozi gani afe kwa Corona, majibu yangekuwa yanaandikwa usoni!, ungeweza usiamini!

Tiba Nambari One Duniani ni Imani, yaani faith, kwa janga kama la Corona ili liishe na lisilete madhara makubwa na maafa kwa Tanzania na duniani kwa ujumla, ni kama Watanzania na watu wote, tuta wish kwa dhati ya mioyo yetu hili janga Mungu alipishie mbali, lakini kitendo cha wengine tunasali, na kumuomba Mungu atuepushe na janga la Corona, huku kuna wenzetu wengine wao waki wish fulani apate Corona afe, kunapunguza nguvu ya sala zetu, huu sio Ubinaadamu, sio utu, ni ushetani!.

Ingekuwa dua ls kuku linampata mwewe, saa hizi siku nyingi.
Ingekuwa historia.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wasamehe Watanzania wenzetu waliomkaribisha shetani ndani yao na umtume Roho Mtakatifu wako, awasafishe na kuwatakasa with their evil thoughts and wickedness na kuliepusha taifa letu na janga la Corona.

Amen.

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nisaidie,hivi aliyeagiza Lissu amiminiwe risasi,aliyemimina risasi na aliyemnyima pesa za matibabu wakati anapigania uhai wake umewaweka kwenye kundi gani? Ukinisaidia kuelewa hilo nitarudi tena baadae
 
Paskali, nadhani ni vyema utafute nini chanzo cha mambo kuwa hivi badala ya kulalamikia matokeo. Yakupa tu kufahamu shetani hapo awali alikuwa malaika. Na sidhani kama kuna malaika mbaya.

Wataalamu wa mambo wanatuambia gharama ya kukinga jambo inaweza kuonekana ni kubwa sana, lakini kiuhalisia ni ndogo sana kuliko kupambana na matokeo ya kutokulizuia jambo lisitokee. Tafakari!

Sii vyema na sii uungwana kumuombea mpinzani wako majanga!
 
Mar-a-Lago ni Makazi ya Trump n guess what not once or twice Trump anafanyaga pale vikao na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa US. Na Vikao vinaenda Safi Tu.

Magu anachofanya siyo kitu kipya Sana hapa duniani. Na haijaaffect chochote Yeye kuwa huko.

Kwani akienda Chamwino ndo Corona itaisha kwa miujiza hapa Tanzania? And Do you Think Kuwa Akirudi Chamwino as protected and Isolated as he is ndo atapata Corona?

Focus.
Hujaelewa kabisa kilichoandikwa !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa namna hii, nami ntakuwa wa kwanza kuwaombea wafe!
Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule aliyewafananisha wapinzani na corona uliona sawasawa ila kwa kuwa upande wenu mnaombewa kufa (na mnakufa kweli now) umeanza kuona kosa.

Binafsi hata wewe ukifa me ntafurahi tu maana wanafiki watapungua jukwaani

Au modds mnasemaje?
 
Back
Top Bottom