pasco, hiki ndo kiini cha tatizo. Mtu anapigwa risasi na wanao mwombea apone wanazuiwa!, unategemea nini kutoka upande wa pili??. Ndo reaction zao hizo. They can't retaliate violently kwani hawana nyenzo. Pasco bwana utadhani kaja leo Tz.Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.