Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Yaani CCM ukiwagusa wao utadhani umegusa nanihii za simba, wao kutwa kucha ni kumtusi tu Mbowe, hivi Mbowe si binadamu? Hastahili heshima? Nasema hivi sijamuombea MTU au kufurahia kifo cha MTU ila kama wapo walioshangilia basi ni sawa.
 
2368479_images_3.jpeg.jpg
 
Vyama Pinzani ndo wana tabia hiyo.

Kuna kile kipindi TBC ilisemekana wamepata Corona yaaani watu walikuwa wanashabikia kabisa oooh wakome, wajifunze maneno kibao, tena wakasema bora wapate maana ake Lissu alivyopigwa risasi TBC hawakuripoti.

Kinachoshangaza zaidi mtu anayesema hivyo nae anaenda kwa nyumba ya ibada au kabla ya kuingia kitandani anasali. Pathetic.
 
Mimi ni sociopath and psychopath wala sihitaji unafiki. Ni kweli nina list ya watu ninaowaombea wapate Corona tena ile strain ambayo ni severe. Hata kama maombi ni unscientific na wanaweza wasipate lakini wazo tu kwamba wanaweza kupata linanipa matumaini makubwa.
 
Watu wana hasira na viongozi mana wao wanaleta utani kwenye ukweli na ndiyo mana mtu anatamani ashike corona mkononi akamwage kwa viongozi fulan. Mtu unakimbiaje wanachi wako waliokuchagua unawatelekeza hlf unaenda kujificha?

Unafanya press conference na majemedari wakati hili jambo halihitaji bastola bali ni ishu za kitaalamu kuhusu afya!!

Hakuna official directives zinazolinda wananchi bali kila mmoja anajichimbia huku wananchi wanapukutika!

Mungu alivyo serius saivi wala haelewi kitu, itachukua miaka kumshawishi!
 
Pascal Mayalla sioni la ajabu! Kama watu walifanya haya kwanini hili ulione la ajabu? Ndio mwendo wetu tangu 2015/October.

1. Walimmiminia mtu risasi 38 bila roho kuwasuta kuwa huyu ni mtamzania mwenzetu na hana kosa
2. Kupotezwa Ben
3. Kupotezwa Azory
4. Kuuawa mawazo
5. Miili ya coco beach
6. Kubambikiwa watu kesi za "maafa" gerezani
7. etc, etc, etc, etc, etc, etc
Kwanini umelishupalia hili? Kila mmoja ana haki ya kuishi awe Rais, Fukara, tajiri, etc. Hili limekustua kwanini? au kwa vile labda wasukuma wameguswa?
Pole kama kuna mtu ame ku wish hivyo1
 
Back
Top Bottom