johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hili ni jukwaa huru bwashee!usilete ugomvi humu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni jukwaa huru bwashee!usilete ugomvi humu!
Angalia tulipojikwaa, siyo tulipoangukiaTumefikia mahali tumeruhusu chuki ndo itawale hisia zetu!
Hii ni mbaya sana!
Leo unajitoa ufahamu eeeh!CCM ndo inafundisha kuombea wenzako wapate Korona?
Na kumnyima pesa za matibabuHao hawana tofauti na waliogiza Lissu apiwe risasi na bado wakaona haitoshi wakamvua na ubunge.
Wapo watu on record wametamka bungeni na kushangiliwa eti zitto apotezwe. Pasikali amesahau hili.Hahahaha umeandika kwa kirefu sana but Kuna Watu wanakera sana!! Hasa CCM to be specific! Unakumbuka issue ya akina Halima Mdee na Esther Bulaya? Unakumbuka zile kebehi? It pains na kama kweli kama hao watu wapo basi CCM ndio waasisi wa hayo mambo na wanavuna walichokipanda KARMA
Huyu paskali hayuko sawa kabisa seriously.Hahahaha umeandika kwa kirefu sana but Kuna Watu wanakera sana!! Hasa CCM to be specific! Unakumbuka issue ya akina Halima Mdee na Esther Bulaya? Unakumbuka zile kebehi? It pains na kama kweli kama hao watu wapo basi CCM ndio waasisi wa hayo mambo na wanavuna walichokipanda KARMA
Tuna standard discipline za kuendesha nchi kama Rais.
Uongo mbaya mimi kuna watu nawaombea korona hata kama korona imianza na mimi ila nitakuwa nachekelea nikisikia wakifukiwaVyama Pinzani ndo wana tabia hiyo.
Kuna kile kipindi TBC ilisemekana wamepata Corona yaaani watu walikuwa wanashabikia kabisa oooh wakome, wajifunze maneno kibao, tena wakasema bora wapate maana ake Lissu alivyopigwa risasi TBC hawakuripoti.
Kinachoshangaza zaidi mtu anayesema hivyo nae anaenda kwa nyumba ya ibada au kabla ya kuingia kitandani anasali. Pathetic.
Karma ichukue mkondo wake
Mimi ni sociopath and psychopath wala sihitaji unafiki. Ni kweli nina list ya watu ninaowaombea wapate Corona tena ile strain ambayo ni severe. Hata kama maombi ni unscientific na wanaweza wasipate lakini wazo tu kwamba wanaweza kupata linanipa matumaini makubwa.
Hayo yote yanapatikana ccmBwashee? Ndo Ujinga gani?
CCM siyo Tatizo hapo. Yaani wewe mtu mzima ukiona mpaka CCM "Inakufundisha" kuombea wenzako mabaya na wewe ukafundishika ujue wewe Aidha ni kichaa au au ni mwanafunzi wa ujinga.