Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

The Humble Dreamer,
Mar-a-Lago ni Makazi ya Trump n guess what not once or twice Trump anafanyaga pale vikao na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa US. Na Vikao vinaenda Safi Tu.

Magu anachofanya siyo kitu kipya Sana hapa duniani. Na haijaaffect chochote Yeye kuwa huko.

Kwani akienda Chamwino ndo Corona itaisha kwa miujiza hapa Tanzania? And Do you Think Kuwa Akirudi Chamwino as protected and Isolated as he is ndo atapata Corona?

Focus.
 
Tuna standard discipline za kuendesha nchi kama Rais.
 
Kaka Pasco. Acha Damu za watu zinene ardhini ilo amuwezi zuia kamwe. Kikombe cha hasira kimefurika sasa na siku za ubaya zimetujilia. Ole wetu nchi zilizomwaga damu zisizo na hatia. Damu zinadai haki kwenye kiti cha enzi cha MUNGU.
 
Lkn mbona ccm wamekua wakifurahia watu kutekwa kuteswa na kupiga risasi......
Sasa wengine wakiwaombea mabaya wanakua na makosa gani.... Ccm ni chama Cha kishetani. Miaka mitano iliyopita wamefanya kazi ya kunljenga chuki kwenye jamii......

KITU AMBACHO NINA UHAKIKA NACHO NI KWAMBA KOLONA IKIISHA TU TUNARUDI KULEKULE KWENYE KUTESANA SI UNAONA VIONGOZI WA JUU BADO WASHUPAZA SHINGO NA WAMEJAA KIBURI HATA KTK VITA HII KUBWA YA KODUNIA
Unaweza kukuta nchi inaongozwa na cannibal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali mayalla, usiwe mtoto mdogo kila siku kifikra, kimawazo na kimtazamo.
Linda heshima yako kwanza, mengine yafuate.

JIULIZE
1. Wakati wa mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, ilikuwepo chuki kama hii?

2. Kabla ya kijana wa Mbowe kupatwa na corona alitangazwa mgonjwa, Makonda akamtangaza mtoto wa mbowe,baada ya pale hakumtangaza mwingine. Je, ni mamlaka yake, hukuiona chuki kwa makonda?

3. Aliyesema chadema ni corona, hukuona chuki na ushetani uliokirithiri!! Chuki wafanye ccm inakuwa sukari, wakifanya walio nje ya CCM ni mashetani na ushetani
KAKA MAYAKA UNASUMU KALI KULIKO NYONGO YA MAMBA,
UNASUMU YA FIRA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zile Magufuli anawazuwia wana-CCM kumjulia hali Tundu Lissu hamkutia neno. Chuki inayopandikizwa kila kukicha na akina Musiba hamuioni. Lakini matunda ya chuki hiyo yakianza kuonekana, mnataharuki. Mmepanda chuki mnavuna chuki. It is that simple.

Unatarajia Polepole aliyewafananisha Wapinzani sawa na korona akitokea kukumbwa na janga hilo wapinzani watamhurumia? Je Bashite aliyezunguka Dar nzima kutangaza kuugua korona kwa mtoto wa Mbowe akumbukwe kwenye sala za wananchi muda huu anaugulia korona aliyokuwa akiifanyia mzaha?

Au Magufuli huyu anayedai korona inatibiwa kwa mvuke huku mamia ya watu wanaangamia na kuzikwa kibudu usiku unataraji wahanga wa utawala wake wamsombee mema?

Ndugu Paskali, huwezi kupanda maputo (balloons) ardhini ukategemea kuvuna matikitimaji.

Mskie huyu akikumbwa na korona kuna atakayemhurumia? 👇
 
Attachments

  • VID_126850815_061719_479.mp4
    4.4 MB
Back
Top Bottom