Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,389
- 10,595
Ulikua haujui???CCM ndo inafundisha kuombea wenzako wapate Korona?
Nani alifananisha wapinzani na Corona[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua haujui???CCM ndo inafundisha kuombea wenzako wapate Korona?
Usilete ugomvi humu!Unetutajia member mmoja tu aliyemtakia mwanasiasa kifo cha Corona ingependeza zaidi!
Imagine! Nitamshangaa sana Lissu kama hana watu anaowaombea wapate Corona.
Tuna standard discipline za kuendesha nchi kama Rais.Mar-a-Lago ni Makazi ya Trump n guess what not once or twice Trump anafanyaga pale vikao na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa US. Na Vikao vinaenda Safi Tu.
Magu anachofanya siyo kitu kipya Sana hapa duniani. Na haijaaffect chochote Yeye kuwa huko.
Kwani akienda Chamwino ndo Corona itaisha kwa miujiza hapa Tanzania? And Do you Think Kuwa Akirudi Chamwino as protected and Isolated as he is ndo atapata Corona?
Unauliza majibu bashweeeCCM ndo inafundisha kuombea wenzako wapate Korona?
Unaweza kukuta nchi inaongozwa na cannibalLkn mbona ccm wamekua wakifurahia watu kutekwa kuteswa na kupiga risasi......
Sasa wengine wakiwaombea mabaya wanakua na makosa gani.... Ccm ni chama Cha kishetani. Miaka mitano iliyopita wamefanya kazi ya kunljenga chuki kwenye jamii......
KITU AMBACHO NINA UHAKIKA NACHO NI KWAMBA KOLONA IKIISHA TU TUNARUDI KULEKULE KWENYE KUTESANA SI UNAONA VIONGOZI WA JUU BADO WASHUPAZA SHINGO NA WAMEJAA KIBURI HATA KTK VITA HII KUBWA YA KODUNIA
Akikujibu uni tagVipi kuhusu yule aliyewafananisha watanzania wenzake na corona, yeye mbona ulikaa kimya
Corona amekuwa kama mkombozi wa wanyonge vile, anawapiga watesi wa ndugu zetu na atawafata kokote waliko.
Alipopote ben, mlikasirika?Hili jambo nimeliona sana humu...Achana na hilo, kuna wengine hata nyuzi za tanzia wanaonekana kufurahia....limenistaajabisha sana hili.
Karma ichukue mkondo wakeKama una wish mtanzania mwenzio apate Corona kwa Sababu tu Lissu alipigwa risasi Kwanza huna akili alafu Wewe Na Hao Waliompiga risasi Mheshimiwa Lissu hamna tofauti.