Matumbulu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 315
- 265
Hajafumba Mimi naona kamsema hadharaniUmemsema Makonda kwa mafumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajafumba Mimi naona kamsema hadharaniUmemsema Makonda kwa mafumbo
Pamoja na yeye bandiko hili linamhusu mkuuVipi kuhusu yule aliyewafananisha watanzania wenzake na corona, yeye mbona ulikaa kimya
Hao nao sijui tutawaitaje?Wanateka,wanashambulia kwa silaha mbalimbali na wanaua halafu wamepewa jina lao wasiojulikana.Siyo OCD,RPC,IGP,DGI,CDF hadi President wote wameshindwa kuwa identify au kutuambia ni kina nani hawa wababe?Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.
Kwa nyuma ya clip ya msemaji wa mada hiyo kulikuwa na mtu very potential alikuwa anagonga meza kukubaliana na hiloWapo watu on record wametamka bungeni na kushangiliwa eti zitto apotezwe. Pasikali amesahau hili.
Send back to the sender or just be at peace and forgive them for they no not what they are doing!Wanabodi,
Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness imewakuta Watanzania wenzetu!. Huu sio utu, sio ubinaadamu, ni ushetani!
Unaweza usiamini hili ninaloandika hapa lakini ni kweli kabisa, wakati dunia ikihangaika na janga la ugonjwa wa Corona linaliitesa dunia nzima tukiwepo sisi Tanzania, kuna baadhi ya wenzetu humu mitandaoni utu na ubinaadamu umewatoka wamekuwa sio watu tena, sio binaadam bali ni mashetani kwa kuombea wenzao sio tuu wapate Corona, bali wapate Corona na wafe kwa vifo vya Corona!. I just can't believe this can happen kwa Mtanzania!
Hili nimelishuhudia humu jf na mitandao mingine baadhi ya wenzetu waki andika ku wish wenzao wapate Corona na wafe kwa Corona kwa kuwataja kabisa kwa majina mimi nikiwa ni mmoja wao.
Lengo la bandiko hili sio mimi kulamika kuwa kuna watu wananitaka nipate Corona, bali kuna watu very wicked wana wish viongozi wetu fulani fulani wafe kwa Corona!
Mimi ni miongoni mwa Watanzania wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology ni uwezo wa kusoma maandishi ya watu, kisha ukabaini mwandishi alimdhamiria nani afe, japo huyo mwandishi anaweza kuwa hakuandika kwa kumtaja jina expressly kuwa nataka fulani afe kwa Corona, lakini kupitia uwezo huo wa graphology, then unatambua impliedly aliyedhamiriwa ni nani!.
To wish someone specific afe kwa Corona ni highest stages of wickedness, Watanzania siku zote ni watu wenye upendo, tunapendana na tunawapenda viongozi wetu, na hata chama chetu japo tunakilalamikia sana humu mitandaoni kuwa ndicho chanzo cha umasikini na madhila yote yanayolikuta taifa letu, lakini in reality, tunakipenda sana na kila mwaka huwa tunakichagua tena mwaka hadi mwaka, tunakichagua tena na tena, sasa iweje binadamu wenzetu, Watanzania wenzetu kuingiwa na roho ya ushetani wa ajabu kwa kuwa na wishful thinking ya kuombea fulani afe kwa Corona?.
Ajabu kubwa zaidi ni idadi ya members watakao toa likes kwa huyo mtu, inaonyesha jinsi tulivyo na kundi kubwa Watanzania wenzetu ambao ni wicked kwa kusupport hizo wicked ideas!
Swali la kujiuliza hivi ni kweli Watanzania tumefika hapa kuombeana vifo vya Corona?. Huu ni utu, ni Ubinaadamu au ni ushetani wa ajabu?.
Hivi kweli sisi Watanzania tumefikia stage ya kuishi na binadamu wenzetu wenye mawazo ya kishetani kama haya halafu tunaishi nao na wengine tunawapongeza?
Ingekuwa kitu mtu anachokiwaza kinaandikwa kwenye paji la uso wake, hivyo nikikuambia ufunge macho na kuwish ulitaka mtu gani afe kwa Corona, amini usiamini, watu tungekuwa surprised kukuta mke ana wish mume ndio afe, mume ana wish mke ndio afe na nikiuliza ungewish kiongozi gani afe kwa Corona, majibu yangekuwa yanaandikwa usoni!, ungeweza usiamini!
Tiba Nambari One Duniani ni Imani, yaani faith, kwa janga kama la Corona ili liishe na lisilete madhara makubwa na maafa kwa Tanzania na duniani kwa ujumla, ni kama Watanzania na watu wote, tuta wish kwa dhati ya mioyo yetu hili janga Mungu alipishie mbali, lakini kitendo cha wengine tunasali, na kumuomba Mungu atuepushe na janga la Corona, huku kuna wenzetu wengine wao waki wish fulani apate Corona afe, kunapunguza nguvu ya sala zetu, huu sio Ubinaadamu, sio utu, ni ushetani!.
Ingekuwa dua ls kuku linampata mwewe, saa hizi siku nyingi.
Ingekuwa historia.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wasamehe Watanzania wenzetu waliomkaribisha shetani ndani yao na umtume Roho Mtakatifu wako, awasafishe na kuwatakasa with their evil thoughts and wickedness na kuliepusha taifa letu na janga la Corona.
Amen.
Paskali
Ni mwendo wa tit for tatkwa nyuma ya clip ya msemaji wa mada hiyo kulikuwa na mtu very potential alikuwa anagonga meza kukubaliana na hilo
Kugeuka na kuangalia ulipojikwaa haisaidii, inatakiwa kutembea kwa makini ili tusijikwae tena!
Wanabodi,

Mkuu nisaidie,hivi aliyeagiza Lissu amiminiwe risasi,aliyemimina risasi na aliyemnyima pesa za matibabu wakati anapigania uhai wake umewaweka kwenye kundi gani? Ukinisaidia kuelewa hilo nitarudi tena baadaeWanabodi,

Paskali, nadhani ni vyema utafute nini chanzo cha mambo kuwa hivi badala ya kulalamikia matokeo. Yakupa tu kufahamu shetani hapo awali alikuwa malaika. Na sidhani kama kuna malaika mbaya.Wanabodi,

Hujaelewa kabisa kilichoandikwa !Mar-a-Lago ni Makazi ya Trump n guess what not once or twice Trump anafanyaga pale vikao na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa US. Na Vikao vinaenda Safi Tu.
Magu anachofanya siyo kitu kipya Sana hapa duniani. Na haijaaffect chochote Yeye kuwa huko.
Kwani akienda Chamwino ndo Corona itaisha kwa miujiza hapa Tanzania? And Do you Think Kuwa Akirudi Chamwino as protected and Isolated as he is ndo atapata Corona?
Focus.
Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.