Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Paskali uko wapi ndugu yangu? Njoo huku unatakiwa kuendelea na mjadala wa mada uliyoanzisha !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali Jamii iliyojaa chuki Ni hatari mno lolote laweza kutokea .Chuki ktk Jamii Ni zao la kutotenda Hali!Haya Ni matokeo
Paskali haya Ni matokeo ya mgawanyiko mkubwa ktk Jamii..unaostawishwa na kutotenda haki!

Na Hali ikiendelea hivi huu Ni mwanzo tu...
Ulishawi wafikiria watoto wa Alfonce mawazo.

Been Saanane
Au risasi za tundu Lisu!
Au fikiria ndg yako amekufa ,anafukiwa unakatazwa hata kupiga picha uweke kumbukumbu!
We acha bana Binadamu Ni Complex Animal
Tutende haki kwa wote muda wote...au Tukemee maovu bila Hofu na kwa Haki!
 
Sijaona Pasko akitoa comment hata moja kwenye hii mada aliyoianzisha masaa 2 yaliyopita!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Give this man Oscar award, grammy award, Ballon Do'r, FIFA best player, Kili Music Aaward , tuzo zote za filamu zetu , you know why ?? mistari yako minne tu imelichachafya gazeti la kujikomba la Mayalla unalosoma unalala unaamka unasoma tena unalala unamka bado humalizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Bulembu mtu mzima tena bungeni mbona hakukemewa?
 
Kwani unafikiri wasiojulikana,wanaoteka watu,waliompiga Lissu risasi nk hawaendi kwenye Nyumba za ibada?Tuwe wakweli,hali hii ni Matunda ya mti uliopandwa 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki hii imetokana na nini?
Watawala wametufikisha hapa
Watawala waliamini kifo ni cha wale sio wao
Awamu ya 5 ijitafakari sana
Tunawalilia maskini na mwananchi wa kawaida
Acheni wafu wawazike wafu wao
 
Alipopote ben, mlikasirika?
Mlipompiga risasi lissu mlikasirika?
Kinyweeni kikombe hiki pamoja na vizazi vyenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niletee uthibitisho wa mimi kufurahia hayo matukio...halafu unaandika kama hili janga lishaninyoosha mimi ilhali halijaingia hata 18 zangu...,kinachonisikitisha ni vifo ndani ya Tz na duniani kote.., hivyo nakuona kama mpuuzi tu uliyekosea njia.
 
CCM ndo inafundisha kuombea wenzako wapate Korona?
Hivi mara zoote wanaccm wanapodhihaki matatizo yanapowapata wanaofikiria tofauti nao au hata vifo huwa hamuwaoni au huwa mnajitoa ufahamu ?, tunasema acha wafe tu na covid19 ili waende wakaungane na waliowatanguliza huko ahera kama akina Mawazo na wengineo
 
Hili jambo nimeliona sana humu...Achana na hilo, kuna wengine hata nyuzi za tanzia wanaonekana kufurahia....limenistaajabisha sana hili.
Niambie ni lini uliwahi kukemea wanaofurahia watanzania wenzao kupigwa risasi na kufa, kupotezwa wasionekane milele, kufungwa kwa sababu za kisiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ONGEZA SAUTI.
ONGEZA SAUTI.
ONGEZA SAUTI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…