MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ila we jamaa 😹
huyu makutopora alikuwa hana kazi akaomba usaidizi jf,alikuwa amezidiwa kwa shida,wadau wema wakampa kazi,akatoa mrejesho na baada ya mrejesho huo kimya mpaka sasa, anakuwaje huyu member bora? Kama labda unajipigia promo.
Asante, shukrani sana
Naunga hoja mkono kwa nguvu zote!
mallerina huu muandiko wako naufananisha sana na wa member mmoja hivi aliyepoteaUmetumia kigezo kipi kumteua
Binti wa zamani 😂
Nani huyo 😍sasamallerina huu muandiko wako naufananisha sana na wa member mmoja hivi aliyepotea
Nimeshaelewa codeNani huyo 😍sasa