Thanks
Mallerina
Kwangu mimi members wa kike mnaofanya poa ni hawa
1.
Mallerina huna baya na mtu wewe🔥
2.
Binti wa zamani huyu kascore 105% kwenye mada za vitumbua
3.
Mawardat warda huyu yeye ni mpole sana jukwaani napenda vibes zake
4.
kadogo2 huyu simuongelei sana mabandiko yake hapa jf yanajulikana🤣🤣(utanii)
5.
Seran
Kwa upande wa members wa kiume waliofanya poa zaidi
1.
Mshana Jr
2.
Natafuta Ajira
3.
Zemanda
4.
Yoda
5.
secretarybird
6.
Rayns
7.
Mwachiluwi the chef
8.
britanicca
9.
Harmful
Kwa upande wa members wa hovyo jf
1.
Hance Mtanashati
2.
GENTAMYCINE
3.
Ertugrul Bey
4.
Lucas Mwashambwa
5.
Sitakuumiza Kamwe
6.
Mjusi Sharobalo
Ahsanteni kwa kunisikiliza