Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

Njoo wewe pamoja na dosho12
😵‍💫Wote😹
giphy.gif
 
Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito

Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake

Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025

1. Binti wa zamani at the top
2. Manyanza
3. Sizinga
4. Chief-Mkwawa
5. Vincenzo Jr

Nawapa maua yenu Wakuu nawaapreciate vibaya mno mmeupiga mwingi sana huu mwaka kwa kuendelea kutunza hadhi ya jukwaa hili na kulifanya liendelee kuwa na mvuto

Mungu awatangulize baraka zake katika kila hatua mtakayopiga.Awafungulie milango ya riziki na kuwajaalia afya njema

Amen

Mungu ibariki JF Mungu wabariki members WOTE
@lamom kanyooka sana huyu bidada
 
Back
Top Bottom