Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Dah😃Niliwatishia wakatishika 😎.
Dah😃Niliwatishia wakatishika 😎.
VPNKwamba saizi umeingia kwa kutumia nini shehe ubwabwa
Naposema naogopwa namaanisha 😂.Dah😃
Unakipi cha kuwafanya TCRA🤣🤣🤣Naposema naogopwa namaanisha 😂.
Huruma si malezi bhana.
Hicho ambacho wao wanadhani nitawafanyia.Unakipi cha kuwafanya TCRA🤣🤣🤣
Duh😃Hicho ambacho wao wanadhani nitawafanyia.
Simple like that 😎.Duh😃
Sir kipombogo vs sahil
Huruma si malezi.
U hali gani mkuu? 😀.Sir kipombogo vs sahil
ewaa! bila kukusahau Rais wetu wa heshima, Intelligent businessman chama umekiongoza vyema, kuna mpinzani alijaribu kufanya mapinduzi alipotezwa jf
Chai 😅Hance Mtanashati najikubali.
Busu la Kenge Je?Hakuna hata mmoja
Kama Mimi sipo hapo kwenye members wa hovyo basi hii orodha ni batili.Thanks Mallerina
Kwangu mimi members wa kike mnaofanya poa ni hawa
1. Mallerina huna baya na mtu wewe🔥
2. Binti wa zamani huyu kascore 105% kwenye mada za vitumbua
3. Mawardat warda huyu yeye ni mpole sana jukwaani napenda vibes zake
4. kadogo2 huyu simuongelei sana mabandiko yake hapa jf yanajulikana🤣🤣(utanii)
5. Seran
Kwa upande wa members wa kiume waliofanya poa zaidi
1. Mshana Jr
2. Natafuta Ajira
3. Zemanda
4. Yoda
5. secretarybird
6. Rayns
7. Mwachiluwi the chef
8. britanicca
9. Harmful
Kwa upande wa members wa hovyo jf
1. Hance Mtanashati
2. GENTAMYCINE
3. Ertugrul Bey
4. Lucas Mwashambwa
5. Sitakuumiza Kamwe
6. Mjusi Sharobalo
Ahsanteni kwa kunisikiliza
Haya yote yako kwenye list ya majitu yaliyokatwa vichwa!
Mkubwa hajaribiwiewaa! bila kukusahau Rais wetu wa heshima, Intelligent businessman chama umekiongoza vyema, kuna mpinzani alijaribu kufanya mapinduzi alipotezwa jf
au ulimteka mkuu ulimteka Kijana wetu Muimba SINGELI