Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

Hoja yako ni nzuri Ila watu wameipokea kwa mtazamo was dini, siasa vitu ambavyo vyote vimekatazwa na FIFA. Saudia Arabia wanatumia nguvu kubwa ya pesa kupenyeza ajenda zao. Pia FIFA imetekwa na Mataifa makubwa Kama USA kuendesha ajenda zao.
 
Watu wana mtindo wanaacha hoja ya msingi iliyoletwa mezani wanakazia eneo ambalo halihusiani na hoja moja kwa moja au mfano ulioambatanisha. Huwa sifahamu wanafanya hivyo kwa kuwa ni mapungufu ya kifikra na uwezo wa kujadili mambo au ni maksudi baada ya kuona hoja ya msingi hawawezi kuipinga.
 
Shida moja ambayo wote mnashindwa kuijua kuhusu mashindano haya ni kuwa hauwezi kuwa na ligi yenye timu permanent katika mazingira haya. Msilojua ni kuwa wanatengeneza ligi ya mfumo kama wa MLS, NFL au NBA ambapo timu hazibadiliki msimu kwa msimu. Wote mnaona nguvu kubwa ambayo Yanga wanatumia kuingia katika mashindano haya, sasa kumbuka karibu kila nchi kuna wapinzani wa jadi kama ilivyo hapa Simba na Yanga. Je timu 24 inatosha kumaliza shauku ya timu zote zinazodhani zina haki ya kujumuishwa? Ukimchagua mmoja, ukamuacha mwingine, kwanza unaua spirit ya ushindani ndani ya ligi ya nchi lakini pia unaleta element za chuki kwa wale ambao watakuwa hawakuteuliwa. Hakuna ambaye amehoji taratibu zitakazotumika kubadili timu ambazo zitakuwa vibonde kila msimu.

Utakapoteua timu 24 permament za kushiriki AFL, zingine zitakazokuwa zinashinda ubingwa wa nchi kama siyo zile 24 zitakwenda wapi? Ndiyo maana swali la hatma ya champions league limeendelea kuulizwa na wengi na ndiyo swali lililokuwa linaulizwa huko Ulaya, CAF hawajalitolea ufafanuzi hilo swala badala yake wanaongelea tu maslahi kuongezeka.

Hii ligi ya AFL ingehusisha timu za nchi ikawa ligi kuu ya Africa halafu kuipa thamani kuliko ligi za vilabu ingekuwa na mantiki bora zaidi kwa Africa na ingejenga Uafrika zaidi na kuimarisha timu za taifa. Kama mligundua kwenye ufunguzi hawakupeperusha bendera za taifa bali za vilabu na hili niliwahi kukosoa humu ndani pale serikali inapoact kama Yanga na Simba ni timu za taifa. Niliwahi kuleta nyuzi kuongelea haya yote.
Umeandika sana mkuu.
Kwani leo hii Yanga si yupo top 24?
Msimu uliopita alikuwepo hata top 30?
Unashindwa nini kuelewa kuwa hiyo list itakuwa inabadilika kutokana na perfomance ya CAFCL?
 
Umeandika sana mkuu.
Kwani leo hii Yanga si yupo top 24?
Msimu uliopita alikuwepo hata top 30?
Unashindwa nini kuelewa kuwa hiyo list itakuwa inabadilika kutokana na perfomance ya CAFCL?
Hizo timu zitakazochaguliwa zitakuwa hazibadiliki. Pia kumbuka katika top 24 ya sasa hivi kuna nchi zina timu zaidi ya 2 unadhani zitachukuliwa zote?
 
No, kamsikilize motsepe alikuwa anongea Juzi.
As unaperform ndio utakavyopata nafasi ya kuingia.
Nilimsikiliza vizuri, sikumsikia mahali aliposema timu zitakuwa zinabadilika kila msimu. Amesema katika kuchagua hizo timu 24 wataangalia performance za nyuma na mafanikio ya ndani ya timu ya siku za nyuma siyo za mbele. Na ujue kuongeza timu hadi kuwa 24 ni kutokana na pressure waliyopata otherwise huu mtindo wa timu 8 hizi hizi ulikuwa ufanyike kwa muda.

Tunza uzi huu kwa haya niliyosema.
 
Mjadala unakuzidi kimo

Mkuu, huku bongo hapakufai japo nimeona wakristo wengi tu wanasapoti israel na mauwaji yanayoendelea huko gaza, haijalishi watoto, wazee wao wanashabikia tuu, so Nenda kaishinao hao mayahudi wanaoungwa mkono na mataifa yafuatayo (brazil, india, uingereza, marekani, Germany, france n.k.)
 
VIdeo bado zipo naomba ukarudia kumsikiliza.
 
Mkuu, huku bongo hapakufai japo nimeona wakristo wengi tu wanasapoti israel na mauwaji yanayoendelea huko gaza, haijalishi watoto, wazee wao wanashabikia tuu, so Nenda kaishinao hao mayahudi wanaoungwa mkono na mataifa yafuatayo (brazil, india, uingereza, marekani, Germany, france n.k.)
Bongo hapanifai kisa nimekumbusha madhara ya kuingiza masuala ya dini na siasa kwenye mpira, jambo ambalo CAF na FIFA wamekuwa wanalisisitiza muda mrefu? Nani anastahili kuishi?

Kwa taarifa yako nimekaa mbali kabisa na mijadala na hata news za kinachoendelea huko Mashariki ya Kati. Mada hii nimeileta kwa maslahi ya mpira wa Afrika na AFL siyo kuonyesha hisia zangu binafsi kuhusu masuala ya imani au itikadi za kisiasa.
 
Hao fifa ndo waanzilishi wa siasa michezoni sasa sijui hiyo fifa inayo isemea ni ipi?
 
Ingelikua imeekuuma jinsi wanavyonyanyasika wapalestina, na maelfu kuuawa tena wasio na hatia usingekuja na huu mjadala wa udini

We stand with Palestine 🇵🇸
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hao fifa ndo waanzilishi wa siasa michezoni sasa sijui hiyo fifa inayo isemea ni ipi?
Unajua maana ya neno "waanzilishi" au unasema tu ili mradi?
 
Ingelikua imeekuuma jinsi wanavyonyanyasika wapalestina, na maelfu kuuawa tena wasio na hatia usingekuja na huu mjadala wa udini

We stand with Palestine 🇵🇸
Mpira siyo mahali pake. Nimeuliza maswali ya msingi hapa yote mnayakimbia na kwa kauli zenu inaonyesha hamko tayari kusikia au kuona mtu akiwa na maoni tofauti na nyie halafu cha kushangaza ndiyo mnatuhumu wengine kwa ubaguzi. Inashangaza sana.
 
Punguza chuki za kishamba
Maoni kuwa siasa na dini viwekwe mbali na mpira ndiyo chuki? Unajua mara ngapi nimepinga Simba na Yanga kutumika kupenyeza milengo ya kisiasa, nazo zilikuwa chuki? Ushamba ni kudhani wewe pekee ndiyo una haki ya kutoa maoni yako ila mwenzio akitoa ya kwake unataka hata kumdhuru. Huo ndiyo ushamba.
 
Haya maoni umeanza leo?Lete reference ukiitetea Urusi kwa kuondolewa kwenye mashindano yote yanayosimamiwa na FIFA na UEFA nitaamini haukuwa na agenda yako binafsi. Vinginevyo ni kujaribu kuzuia jua kwa ungo.
 
Kuna ambao mnaileta Russia kwenye mada hii wakati ishu hazifananii kabisa, sielewi mnaitaja kwa angle ipi
 
Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana.

Kutokana na mzozo wa kisiasa unaoendelea huko Mashariki ya Kati, mechi ya ufunguzi iligubikwa na viashiria vya kusapoti Palestina, kuanzia mabango yaliyoshikwa na mashabiki hadi ushangiliaji wa magoli wa wachezaji wa Al Ahly.

Tukumbuke mmoja wa wadhamini wakubwa wa AFL ni Saudi Arabia. Nimesoma mahali Israel wamewaambia raia wake waondoke Misri. Unadhani nini kinaenda kutokea katika mechi za Al Ahly pale Misri? Saudi Arabia wameamua kumwaga mapesa mengi katika soka duniani kote na hili linaleta mtafaruku huko Ulaya maana inaonyesha nyuma ya pazia kuna nia isiyo njema. Ni wiki iliyopita tu timu ya taifa ya Tanzania ilikwenda Saudi Arabia katikati ya ratiba ngumu za ligi na mashindano ya kimataifa, halafu eti tukacheza mechi ya kirafiki na Sudan. Safari ile ilikuwa na tija gani kwa timu? Mwisho wa siku wachezaji wanaonekana wameenda kwa shughuli za kiimani zaidi. Nitawaacha mconnect dots.

Moja ya maswali ya msingi ambayo Motsepe ilitakiwa kuulizwa ni utofauti utakaokuwepo kati ya mashindano haya mapya na mengine ya CAF hasa linapokuja suala la tabia mbovu ya nchi za Kaskazini katika mashindano ya CAF kuanzia uamuzi wa marefa, tabia za wachezaji uwanjani na mashabiki wao.

Kama mambo ni yale yale na kilichobadilika ni maslahi kuongezwa, linakuja swali, kwa nini hayo maslahi hayakupelekwa katika mashindano yaliyokuwepo na kuboresha tu taratibu? Ukiongeza timu zikawa 24, ina tofauti gani na group stage ya mashindano ya champions league? Kama bado tutaendelea kushuhudia mashabiki wanarusha mabomu ya moshi viwanjani pale timu zao zinapozidiwa, utofauti na hadhi iliyotegemewa ya mashindano haya haitakuwepo.

Haya mashindano yakionekana yameanzishwa yakiwa na agenda za siri nje ya mpira hayatafika mbali. Usishangae hata haya ya msimu huu wa kwanza yasifike mwisho.
Waarabu ndio wenye pesa kwa sasa, michezo inachohitaji ni pesa tu hata Vatican wakitaka kumiliki timu watu hawana shida kikubwa pesa, official broadcaster wa AFL ni abudhabi sport ndio walioweka mpunga mrefu
 
Back
Top Bottom