Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Kwa mfano Kesho wachezaji wa Simba wawe na fulana ndani zenye benders ya Israel 🇮🇱 na Simba wakifunga Goli 1 watoe Jezi na kuonesha ile fulana kwa lengo la kuiunga mkono Israel itakuwaje uwanjani? Umeona Mantiki ya Mtoa Mada au mnaangalia upande mmoja tokana na mahaba yenu enyi dini ya mnyazi mungu?Kuna kosa gani hapa? Mbona hata La Liga mechi karibu zote zina "Free Palestine"?