Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Kwa mfano Kesho wachezaji wa Simba wawe na fulana ndani zenye benders ya Israel 🇮🇱 na Simba wakifunga Goli 1 watoe Jezi na kuonesha ile fulana kwa lengo la kuiunga mkono Israel itakuwaje uwanjani? Umeona Mantiki ya Mtoa Mada au mnaangalia upande mmoja tokana na mahaba yenu enyi dini ya mnyazi mungu?Kuna kosa gani hapa? Mbona hata La Liga mechi karibu zote zina "Free Palestine"?
Kwanini mnapeleka kidini? Mbona EPL na La Liga kila mechi wanabeba mabango ya FreeUkraine? Mbona hamsemi wakitokea wanaovaa jezi za Russia itakuwaje? Ni hivi, haijawahi kuwa kosa kupiga kelele dhidi ya uonevu hata hao FIFA waliinyima South Africa uanachama wa FIFA kisa vikwazo vya uchumi walivyowekewa South Africa. Hapa hakuna udini wala nini ni kawaida duniani kote watu kupinga uonevu ndio maana Russia imefungiwa na FIFA au ile sio siasa?Kwa mfano Kesho wachezaji wa Simba wawe na fulana ndani zenye benders ya Israel 🇮🇱 na Simba wakifunga Goli 1 watoe Jezi na kuonesha ile fulana kwa lengo la kuiunga mkono Israel itakuwaje uwanjani? Umeona Mantiki ya Mtoa Mada au mnaangalia upande mmoja tokana na mahaba yenu enyi dini ya mnyazi mungu?
Aingie nayo tu hajakatazwa, mbona Benzema kaunga mkono Palestina waziwazi kafungiwa??. Wala hakuna siasa hapo.hiyo kesho Boko akiingia uwanjani na fulana ya kuiunga mkono Israel na akifunga avue Jezi na abaki na hiyo fulana imeandikwa "Go on Israel Kill all foolish Palestinian" itakuwaje uwanjani?
Umewahi ona mechi za America Kusini? Kule kuna shithousery kuliko Africa Kaskazini. Nadhani mtoa mada hana exposure ila hayo mambo ya kujiangusha, fitna n.k yapo ligi zote dunianiLakini pia mleta uzi kaongelea suala la mchezo wa hovyo wa waarabu ikiwemo kujiangusha na kupoteza radha ya soka kama fainali ya Yanga na yale Mamumiani ya Algeria mbona mnalikwepa?
Tuwaache na mahaba yao likija kubumbuluka tutafute mchawi. Muafrika anashindwa kulinda maslahi yake anakimbilia kuyatetea ya Mrussia ambaye hajawahi kuwa na msaada kwake.Kwa mfano Kesho wachezaji wa Simba wawe na fulana ndani zenye benders ya Israel 🇮🇱 na Simba wakifunga Goli 1 watoe Jezi na kuonesha ile fulana kwa lengo la kuiunga mkono Israel itakuwaje uwanjani? Umeona Mantiki ya Mtoa Mada au mnaangalia upande mmoja tokana na mahaba yenu enyi dini ya mnyazi mungu?
Kwa bahati mbaya hufahamu chanzo hasa cha huo mgogoro. Hivyo siondoi.Ondoa Hilo neno hatia maana katika mgogoro huu wao ndio wameanza uchokozi.
FaizaFoxy akikusikia unawasèma vibaya miungu wake, patachimbikaWaarabu wana tamaduni za ovyo.
Hawana uungwana kabisa
Fujo hadi michezoni
Wakija huku tunawakirimu tukienda kwak wanatufanya kama wehu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikujibu wavimba macho nitag.Hawana majibu bali udini tu.Michezo huunganisha watu siku zote, sioni ajabu wachezaji wa al ahly kuwapa sapoti wapalestina umesahau msimu wa mwaka wakati urusi inaivamia ukraine klabu zote ulaya hadi na mashabiki walikuwa na mabango uwanjani kupiga kelele dhidi uvamizi ule iweje leo wewe uje na andiko lako eti udini, wewe ndo udini utakuwa unakusumbua mzee.
Wakili mzima unapotosha? Aliyeanzisha ugomvi ni Israel kwa kuvamia na kukalia kimabavu ardhi ya Palestina!! Ni sawa na kusema Zelensky ni mchokozi kisa kavamia vijiji vya Crimea (Ukraine) ambavyo vinakaliwa kimabavu na Russia!!Ondoa Hilo neno hatia maana katika mgogoro huu wao ndio wameanza uchokozi.
Naamini wewe ndio hufahamu vizuri kiini cha mgogoro.Kwa bahati mbaya hufahamu chanzo hasa cha huo mgogoro. Hivyo siondoi.
Basi kila mtu abakie na mtazamo wake. Na huu ndiyo uhuru wenyewe wa kutoa maoni.Naamini wewe ndio hufahamu vizuri kiini cha mgogoro.
Sawa.Basi kila mtu abakie na mtazamo wake. Na huu ndiyo uhuru wenyewe wa kutoa maoni.
Hapa unaepotosha ni wewe.Wakili mzima unapotosha? Aliyeanzisha ugomvi ni Israel kwa kuvamia na kukalia kimabavu ardhi ya Palestina!! Ni sawa na kusema Zelensky ni mchokozi kisa kavamia vijiji vya Crimea (Ukraine) ambavyo vinakaliwa kimabavu na Russia!!
Mpira siyo mahali pake. Nimeuliza maswali ya msingi hapa yote mnayakimbia na kwa kauli zenu inaonyesha hamko tayari kusikia au kuona mtu akiwa na maoni tofauti na nyie halafu cha kushangaza ndiyo mnatuhumu wengine kwa ubaguzi. Inashangaza sana.
Hapa unaepotosha ni wewe.
Nimepotosha nini sasa kwani hao Settlers wa Israel wana kibali gani kujenga makazi kwenye ardhi ya palestina? Au ukiambiwa "walowezi wa Kiyahudi" unaelewa nini?Hapa unaepotosha ni wewe.
Unafahamu kwamba Misri na Israel wana uhusiano wa kibalozi wa zaidi ya miaka 40 au wewe unaongea tu.Baba wa taifa hakuitambua israel,cairo hawaitambui israel,hatujui mini kitakupata ukipeperusha bendera ya israel cairo,sisi so wapiga ramli
Nimesema cairo siyo misri,nililenga mashabiki na wachezaji kama alivyotolea mfano yeyeUnafahamu kwamba Misri na Israel wana uhusiano wa kibalozi wa zaidi ya miaka 40 au wewe unaongea tu.