YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kama TRA hawakatwi hizo posho wanatakiwa kukatwa na wabunge piaUnaweza kusema hapa posho wanazolipana wafanyakazi wa serikali even hao TRA kuna wakati hufanya vikao vyao wakajilipa posho huwa zinakatwa kodi?
Una chuki kubwa sana na RC bro kuwachukia hakukuongezei chochote kwenye maisha yako ya kiroho zaidi ya kupoteza muda sasa nakushauri kaa chini kunywa maji kidogo(sijui yatakuwa ni ya mwamposa au vipi utajua mwenyewe) kisha tafakari je ni sahihi kwa mwamposa kuwauzia watu Hill Water 1litre ya Tsh 500/= mtaani kwa gharama ya 5,000/= hapo Kawe na popote kwenye matamasha yake?
Posho ni income TRA kama kweli usemacho hawako sahihi wakatwe kodi za vikao wao na wabunge
Posho ni income kwa receiver iwe ya kikao cha TRA au mbunge au posho ya padre au mchungaji au Askofu au nabii au mtume ni taxable income
Kama haiko taxable iwe taxable