Tukifanya Hivi, Kina Mwamposa na Manabii kuwa Walipa Kodi Wakubwa

Kama TRA hawakatwi hizo posho wanatakiwa kukatwa na wabunge pia
Posho ni income TRA kama kweli usemacho hawako sahihi wakatwe kodi za vikao wao na wabunge

Posho ni income kwa receiver iwe ya kikao cha TRA au mbunge au posho ya padre au mchungaji au Askofu au nabii au mtume ni taxable income

Kama haiko taxable iwe taxable
 
TRA na Bunge kama posho zao hawakatwi kodi it is wrong same kwa mapadre ,masista na mabruda wa kanisa katoliki kama hawakatwi kodi posho zao it is wrong
 
Timu ni ileile ila viwanja ni tofauti![emoji1787][emoji1787]

Ndiyo ukweli huo.

Catholic wao wapo kwa miaka mingi na namna yao ya upigaji/business imeshaundwa kitaasisi kwahiyo kila mmoja anaona ni sawa tu.

Mwamposa yeye yupo kwenye kipindi cha mwanzo sasa lazima tumuone yeye ni kibaka. Bado hatujazoea upigaji wake kwahiyo tunalalamika.

Jamaa akikomaa muda mrefu watu watasahau wataona kawaida tu.

Kumbuka wajinga hawaishi kwahiyo huduma za mwamposa and co hazitakoma.
 
OK issue kodi wanalipa kwa miaka yote toka waje Tanzania kama missionaries posho zao za mqpadre,masista na Mabruda,
Income zao toka Wakanyage Tanzania as the so called Catholic missionaries zillishakuwa taxable? Toka waje nchini?

Mwamposa kaanza juzi juzl tu what about those missionaries from Europe or Italy the catholics !! walikuwa taxable income zao? What about mapadre na masista na Mabruda before Mwamposa hajaibuka je income zao zilikuwa taxable na ziko taxable sasa? Kama haziko taxable why ? why, TRA wajibu
 
Sio lengo la uzi huu,kuna mdau hapo juu pia amesema kwamba kuna masista huwa wanatengeneza wanauza,kwahio sio kitu kipya
 
Sijawahi kujishughulisha kutazama hicho kipindi,kinarushwa na TV station gani Mkuu? Japokuwa pia huwa sina hata interest na haya Makanisa ya Manabii na mitume
 
Kwani Kuna Kanisa ambalo siyo la mtu au taasisi iliyoanzishwa na mtu?.Ata sadaka ya KATOLIKI inaenda Vatican na wewe unabaki na ulofa wako.Bora wakina Mwamposa wanazungusha pesa humuhumu ndani ya nchi!
Huna ujualo kuhusu ukatoliki. Pesa ya Roma imeacha kuja tangu mwaka 2001. Kuanzia kipindi hicho kanisa linajitegemea kupitia sadaka na mavuno yanayofanyika mara moja kwa mwaka.
 
Wakatoliki pesa zinajulikana zinaenda wapi na zinafanya nini!
Matokeo na tunayaona,ila hawa matapeli wakina mwaposa na wengineo pesa zao wanafanyia mambo yao binafsi tu kama kujenga majumba yao kuishi na mahoteli na kununua magari ya kifahari

Ova
Mapadre wa katoliki hawafungi ndoa, maisha yao ni huduma na sisi waumini ndio tunaowatunza kwa kila kitu.

Hao maaskofu wanaoa na hivyo kuingiza ubinadamu katika huduma inayotakiwa iwe ni ya kiroho kwa asilimia mia moja, hivyo wizi na ufisadi unakuwa mwingi.
 
Business
 
Hujui mengi ya ukatoliki
 
Mwamposa ana kiwanda cha maji na duka la kuuzia ayo maji unayoyasema?
Usiende mbali kwenye kiwanda.Kinachojadiliwa ni yeye (wao) kuuza bidhaa.Wanapata kipato.Je,wanalipa kodi?Sijajua kama ni maji ya kisima au ya bahari.Hoja ni ulipaji wa kodi kwa kufanya biashara ya kuuza bidhaa.
 
Asilimia kubwa ya maji anayotumia Mwamposa kwenye mambo yake kiimani ni ya Hill Water, na hicho kiwanda kipo Mapinga, Bagamoyo..

Wewe kama unajua hicho kiwanda chake, weka hapa jina lake, maji anayotengeneza yanaitwaje, na wapi hicho kiwanda kilipo?
Katoliki pia wanayo maji ya kawaida wanachota bombani au kisimani,au mtoni au kwenye dimbwi na kuweka chumvi kidogo ambayo hayana hata viwango vya TBs ukiingia kanisani unachovya mkono na kupiga ishara ya msalaba wakatoliki wanaamini ni maji matakatifu sembuse Kwa Mwamposya ya Hill water au ya Uhai yenye nembo ya TBS yupi bora hapo?

Wote wanaita maji matakatifu
 
Huna ujualo kuhusu ukatoliki. Pesa ya Roma imeacha kuja tangu mwaka 2001. Kuanzia kipindi hicho kanisa linajitegemea kupitia sadaka na mavuno yanayofanyika mara moja kwa mwaka.
Mkuu hongera sana kuwaelewesha hawa.Sijui wanadhani Vatican wana uhitaji wa sadaka za Parokia ya Vingunguti?
 
Be blessed!
Yaan kila mtu kashikilia kisawasawa mrija wake ananyonya...
Wengine wanaona kwa nin mwenzao mrija wake uko chini kwenye basements anavyonyonya huku kwetu yanapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…