mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
nakubali hapa.kula mara moja tu, ukizidisha iwe mara mbili
Mkuu,Ya janabi ni ya watu wa maisha ya AC ofisi nyumbani.
Na sio wauwa winga yaaani watembea kwa miguu kilometers zaidi ya kumi kwa siku ndo maisha ya wengi.
Sukari inajichoma yenyewe
Wasalaam wakuu!
Kwanza kabisa Nakubaliana na ushauri wote wakitabibu kuhusu aina sahihi ya chakula na namna nzuri ya ulaji kutoka kwa Daktari bingwa na mkuu wa kitengo cha magonjwa ya moyo professor mohamed Yakub Janabi.
Namimi baada yakumsikiliza na kuanza kufuatilia miongozo yake nikaamua kubadili aina yangu ya ulaji ili niendane na matakwa ya msomi huyu. Na sasa ni wiki ya 3 tangu nianze kufuatana na miongozo ya Janabi na nasema wazi kuwa nimenyoosha mikono juu [emoji119], hii ni Baada ya kuzidiwa na njaa kisha kupata kizungu zungu na kuanguka ghafla ofisini.
Baadhi ya miongozo ya Professor huyu msomi
1.Kunywa bia moja masaa yasiyopungua mawili na usiongee wakati unainywa hiyo bia
2.kula mara moja tu, ukizidisha iwe mara mbili na chakula kisizidi ujazo wa kiganja cha mkono wako.
3. ugali ni hatari kwa afya ya moyo na unadumaza akili
4. Professor anasema yeye hajanywa juice ya aina yoyote miaka zaidi ya 15, lakini anasema tusile sukari, chumvi, nyama nyekundu, nyama nyeupe tule kwa kiasi kidogo sana , samaki wasio na magamba wanamafuta mbaya, lakini samaki wa maji chumvi nao ni tatizo kwa moyo. Janabi anaenda mbali nakushauri mboga zote za majani ziliwe zikiwa mbichi. "Kweli kisamvu nikitafune kikiwa kibichi professor?"
Literally ni kama professor Janabi yupo katika kampen ya #kataa chakula sababu anapingana na kila mlo uliozoeleka kwa WaTanzania. Nashauri asipuuzwe ila asitiliwe maanani sana.
Kumbe kushinda njaa inasaidia sana?!Hivi nani kasema tunatakiwa kula mara tatu kwa siku? Ni makampuni sio Madaktari na ubongo unakumbuka na ndiyo maana unapata njaa. Lakini milo inatakiwa kula miwili tu. Saa nne au saa tano asubuhi na jioni kabla ya saa mbili. Baada ya chakula cha jioni kama ni chai au kahawa iwe ya rangi bila sukari wala maziwa mpaka asubuhi saa nne au saa tano yaani masaa 14-16 kila siku. Nimefanya hivi kwa miaka zaidi ya miwili sasa na madaktari wengi wanashauri hivi. Njaa ni akili yako tu ukishafanya wiki moja mwili unazoea. Usikofanya hivi hasa kuanzia 45 years unahatari ya kupata kisukari
Huyu mzee atasema tuache kupumua maana hewa ina moshi wa viwandaWasalaam wakuu!