Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa


Bangi mbaya sana!!, eti tukifuzu AFCON utakunya kuanzia mwenge hadi uwanja wa ndege!!--- hayo mavi ya kunya njia nzima utayatoa wapi wakati lishe yako yenyewe ni matatizo kutokana na vyuma kukaza!!,😁😁😁.

Wabongo shida kweli, na bado kuna miaka mingine 5 ya shida, sasa sijui hali itakuaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…