Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Lesotho anafungw na stars anashinda...so jiandae kunya.... El capitano kashasema "haina kufeli" na hatuwez kufeli.Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Mbona unakuwa na haraka kama unapiga nyeto dukani?duuuh!, mwenge hadi airport!, utaazima wa tembo au wako
Mbolea,miti kibao inakufa kando ya Barabara Kwa kukosa mbolea.Mmemuona mpumbavu uyu, baada atoe ahadi vitu vya maana, yeye anataka anye njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
KIMENUKA: Kiongozi wa kanisa la mitume na manabii Baba Mchungaji Daudi Mashimo apokea maono kuwa Starz itafungwa leo.
Uganda sasaaaHatuna kikosi cha kumfunga Uganda labda watuonee huruma tu.
Cc; Kaguta M7
Unajua maana ya dakika 90... Uganda wana maajabu gani wasifungwe?Hatuna kikosi cha kumfunga Uganda labda watuonee huruma tu.
Cc; Kaguta M7
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]duuuh!, mwenge hadi airport!, utaazima wa tembo au wako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu, unye kuanzia Mwenge hadi huko mbali hivyo kwani umekula vyakula gunia ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatuzidi kila kitu kimpira.Unajua maana ya dakika 90... Uganda wana maajabu gani wasifungwe?
HahahaKama utazoa mwenyewe hamna shida!
Dakika 90 ndio kila kitu... achana na kutuzidi kila kitu.Wanatuzidi kila kitu kimpira.
Unataka na jingine?
Naiombea mema ila mechi ngumu sana
Dk 90 zipo ili kukamilisha maana ya mpira wa miguu wachezaji baadhi wanaweza kutugharimuDakika 90 ndio kila kitu... achana na kutuzidi kila kitu.