Haya majamaa ya kijani sijui huwa wanayanywesha vitu gani?!Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
2015 kiuhalisia hatukuchagua CHAMA bali MTU. Na ndo maana Magufuli akaja akakitengeneza.Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
Kwani nimezungumza jambo baya.?Haya majamaa ya kijani sijui huwa wanayanywesha vitu gani?!
Kwa nini hamuoni mazuri yeyote kwa Magu?Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
Ndo maana kama angeenda na kuimba CCMwakatiwa2015 CCM ingeshindwa vibaya. Maana watu walikuwa wamechoka na kidanganywa.2015 kiuhalisia hatukuchagua CHAMA bali MTU. Ma na ndo maana akaja akakitengeneza.
Sasa chaonekana kinatimiza na ANATIMIZA aliyoyaahidi
Mliberali hope nimekujibu vyema. Ama sivyo?Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
Ambao hawaoni Mazuri ni wale walioingia kwenye siasa kwa Lengo lifuataloKwa nini hamuoni mazuri yeyote kwa Magu?
Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu.Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.
Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa, KUNYANYASHWA, na kubaki katika UMASKINI wao.
Wananchi walitumika kama MITAJI ya KISIASA kwa wenye NGUVU za KIFEDHA na uchu wa madaraka.
Kwenye KAMPENI zao wananchi WALIAAHIDIWA ahadi kibao. Waliambiwa mtapata hiki na kile oh mtapata maji WAnasiasa walipoingia madarakani.AHADI nazo zikawa ni AHADI tu.
Wakaahidiwa maendeleo na USTAWI, badala yake WALICHOAMBLIA ni UMASKINI uliokithiri.
Wakaahidiwa UMOJA na USAWA na badala yake walichobulia ni UTENGANO wa WALICHONACHO na WASO NACHO.
kumbuka huku wengine wakiwa CHAMANI CCM walikua WAKILA mali ya CHAMA na kuifanya ni kama yao. Yaani vurugu mechi tu.Mpaka Magufuli alipotokea KIPONYA TAIFA.
Wakati haya yote yanafanyika Benard Membe and Co. ndo walikuwa MSTARI wa mbele chamani/ the DEEP STATE fellas/watu wa ndani na wa karibu...
Akiwa Wizara ya mambo ya nje hakukuwa na utaratibu NA MENGINE HATUWEZI KUYASEMA HAPA.,
Balozi zetu zilikuwa kama shamba la bibi. Hela nyingi ilitumika vibaya na watuwaliokuwa on tour of duty/Kzaoza kibalozi/ni nk wengine WALIDIRIKI KUKATA kurudi Tanzania maksudi hivyo kuendelea kukaa huko majuu kwa kadri ya MUDA waliopenda. KINYUME kabisa na TARATIBU za tour of duty katika wizara ya Mambo ya Nje.
Kama ULIJUANA na Membe mambo yako yalikuwa ni mazuri.
SWALI: Ni nini kipya atakachowaambia Watanzania hasa baada ya MAGUFULI KUREKEBISHA both madudu serikalini na CHAMANI ambacho yeye mwenyewe ndo alikuwemo?
Ni maendeleo yapi ambayo Benard Membe ATAFANYA ama MAWAZO/IDEAS mpya ambazo atawauzia Watanzania sera WAZINUNUE?
Tusidanganyane Benard Membe HAFAI kuwa RAIS.
Rais Magufuli aendelee na maono yake kwa wanyonge na wasio na sauti.
Watanzania wanachotaka sasa na walichakipata ni UONGOZI ulio na MAONO/VISION.
Na Si SIASA tupu tena.
Hatutakubali kutumika tena KAMA MITAJI ya WATU.
Sasa tuna miundombinu mizuri, Hospitali, Zahanati, SGR, UCHUMI wa KATI ambao Tanzania wamepewa MIAKA 5 mapema zadi kabla ya wakati hii ni kusema Magufuli anakubalika KIMATAIFA.
Hizi zinginezo ni mbwebwe za Membe.
Swala si Nani anafaa
Swala ni Uhuru wa wananchi kusema yupi anafaa na yupi hafai..
Uhuru huo upo?
Nashukuru kwa yale uliyoyataja. Kwanza kabisa hili naomba niliweke wazi. SINA NJAA nimepata mavuno ya chakula cha kutosha na SIHITAJI KUOMBA chakula..50M kila kijiji,laptop kwa kila mwalimu,elimu bure,mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote,kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuboresha kilimo na kutafuta masoko kwa wakulima,Tanzania ya viwanda nimeyataja kwa uchache vipi yametekelezwa hayo Bwasheee?
Magufuli amekuwa waziri for 20yrs kwenye serikali ya chama gani? Kuna madudu mangapi ameyafanya kule wizara ya ujenzi,wizara ya nyumba,ardhi na makazi,na wizara mifugo na uvuvi? Pale Ikulu kuna madudu mangapi anayafanya?
Njaa mbaya sana zinawatoa akili na kubakia na akili ya kusifu na kuabudu tu.
Acha kuwa Sarcastic/Kutuletea mzaha na vichekesho.Wewe jibu hoja na kama imekulemea hii mada waachie wabobezi wako.Ambao hawaoni Mazuri ni wale walioingia kwenye siasa kwa Lengo lifuatalo
1. Misifa tu- Yaani Jamii imuite Mhe na hana lingine lolote zaidi ya hilo. Mtu wa aina hii anajifanya kama kwenye kuongeza hakuna Mwingine zaidi yake Mfano Mbow.
2. Kujinufaisha- Huyu Muda Mwingi kazi yake ni kutafuta Madili kwa ajili ya Maslahi yake binafsi na si ya Chama chake wala Wananchi anaowaongoza Mfano Kabwe, Lissu, Mbow,.
3. Kutafuta kutumika kwa Maslahi ya Wafadhili/Wahisani- Uswahilini wanamwita Papeti- Ni wale wanaingia kwenye siasa kwa Lengo la kulinda Maslahi ya waliowatuma na kwa Maslahi ya Mataifa yao. Huyu ni hatari zaidi maana anatumiwa kama Remote Control Mfano Zitt na TLS.
4. Kuikwamisha Serikali iliyopo Madarakani isitekeleze Miradi ya Maslahi Mapana ya Kitaifa: Hawa Lengo lao kuu ni kuwandaa Wananchi Kisaikolojia kuichoka Serikali iliyopo Madarakani. Mfano Zitt na TLS.
5. Kuichafua Serikali Kimataifa: Hawa Lengo lao nikusaidia Mataifa Washindani kiuchumi dhidi yetu waweze kuonekana ni bora. Hawa Mara nyingi wanatabia ya kujikomba kwa kuomba omba kimataifa Mfano Zitt.
Kwa Siasa za Mwaka 2020 JPM anaweza Kushinda kwa zaidi ya asilimia 95 hata huko Marekani.
Samahani mkuu sikuwa Nimeona ulichoandika hapo juu. Pointi zako ni VALID/SAFI sana.. SAMAHANI tena SANA.Ambao hawaoni Mazuri ni wale walioingia kwenye siasa kwa Lengo lifuatalo
1. Misifa tu- Yaani Jamii imuite Mhe na hana lingine lolote zaidi ya hilo. Mtu wa aina hii anajifanya kama kwenye kuongeza hakuna Mwingine zaidi yake Mfano Mbow.
2. Kujinufaisha- Huyu Muda Mwingi kazi yake ni kutafuta Madili kwa ajili ya Maslahi yake binafsi na si ya Chama chake wala Wananchi anaowaongoza Mfano Kabwe, Lissu, Mbow,.
3. Kutafuta kutumika kwa Maslahi ya Wafadhili/Wahisani- Uswahilini wanamwita Papeti- Ni wale wanaingia kwenye siasa kwa Lengo la kulinda Maslahi ya waliowatuma na kwa Maslahi ya Mataifa yao. Huyu ni hatari zaidi maana anatumiwa kama Remote Control Mfano Zitt na TLS.
4. Kuikwamisha Serikali iliyopo Madarakani isitekeleze Miradi ya Maslahi Mapana ya Kitaifa: Hawa Lengo lao kuu ni kuwandaa Wananchi Kisaikolojia kuichoka Serikali iliyopo Madarakani. Mfano Zitt na TLS.
5. Kuichafua Serikali Kimataifa: Hawa Lengo lao nikusaidia Mataifa Washindani kiuchumi dhidi yetu waweze kuonekana ni bora. Hawa Mara nyingi wanatabia ya kujikomba kwa kuomba omba kimataifa Mfano Zitt.
Kwa Siasa za Mwaka 2020 JPM anaweza Kushinda kwa zaidi ya asilimia 95 hata huko Marekani.
Sophist unauhakika na ulichomkiandika?Kwa sasa hakuna mtanzania anaruhusiwa kukanyaga EU zone. Kama kukubalika kimataifa kwa utawala wa sasa ndio huko basi Tanzania imekubalika sana kimataifa kipindi cha utawala wa Magufuli.
COVID 19 inamalizika lini? Uganda, Zambia na Rwanda nazo zimezuiwa kuingia Eurozone? Tanzania ni WHO COVID 19 compliant?Kutokana na hilo Nchi za EU zimezuia nchi kadhaa hata WAMAREKANI haWAruhusiwi KUKANYAGA za ya EU.
Nilikujibu vizuri sana. Mengine ni Technicalities za WHO.COVID 19 inamalizika lini? Uganda, Zambia na Rwanda nazo zimezuiwa kuingia Eurozone? Tanzania ni WHO COVID 19 compliant?
Pia ningependa kukushauri. Kutopenda nchi yako na mara kwamata kuitakia mabaya si BUSARA bali ni kukosa uzalendo.COVID 19 inamalizika lini? Uganda, Zambia na Rwanda nazo zimezuiwa kuingia Eurozone? Tanzania ni WHO COVID 19 compliant?