Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu.Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.

Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa, KUNYANYASHWA, na kubaki katika UMASKINI wao.
Wananchi walitumika kama MITAJI ya KISIASA kwa wenye NGUVU za KIFEDHA na uchu wa madaraka.

Kwenye KAMPENI zao wananchi WALIAAHIDIWA ahadi kibao. Waliambiwa mtapata hiki na kile oh mtapata maji WAnasiasa walipoingia madarakani.AHADI nazo zikawa ni AHADI tu.
Wakaahidiwa maendeleo na USTAWI, badala yake WALICHOAMBLIA ni UMASKINI uliokithiri.

Wakaahidiwa UMOJA na USAWA na badala yake walichobulia ni UTENGANO wa WALICHONACHO na WASO NACHO.
kumbuka huku wengine wakiwa CHAMANI CCM walikua WAKILA mali ya CHAMA na kuifanya ni kama yao. Yaani vurugu mechi tu.Mpaka Magufuli alipotokea KIPONYA TAIFA.

Wakati haya yote yanafanyika Benard Membe and Co. ndo walikuwa MSTARI wa mbele chamani/ the DEEP STATE fellas/watu wa ndani na wa karibu...

Akiwa Wizara ya mambo ya nje hakukuwa na utaratibu NA MENGINE HATUWEZI KUYASEMA HAPA.,
Balozi zetu zilikuwa kama shamba la bibi. Hela nyingi ilitumika vibaya na watuwaliokuwa on tour of duty/Kzaoza kibalozi/ni nk wengine WALIDIRIKI KUKATA kurudi Tanzania maksudi hivyo kuendelea kukaa huko majuu kwa kadri ya MUDA waliopenda. KINYUME kabisa na TARATIBU za tour of duty katika wizara ya Mambo ya Nje.
Kama ULIJUANA na Membe mambo yako yalikuwa ni mazuri.
Kama WIZARA ILIMSHINDA TAIFA ZIMA ATALIWEZA?
Uongozi si ujuziwa kusema /ELOQUENCE. Ni zaidi ya kuzunguka zunguka nchi za nje.

SWALI: Ni nini kipya atakachowaambia Watanzania hasa baada ya MAGUFULI KUREKEBISHA both madudu serikalini na CHAMANI ambacho yeye mwenyewe ndo alikuwemo?

Ni maendeleo yapi ambayo Benard Membe ATAFANYA ama MAWAZO/IDEAS mpya ambazo atawauzia Watanzania sera WAZINUNUE?

Tusidanganyane Benard Membe HAFAI kuwa RAIS.
Rais Magufuli aendelee na maono yake kwa wanyonge na wasio na sauti.
Watanzania wanachotaka sasa na walichakipata ni UONGOZI ulio na MAONO/VISION.
Na Si SIASA tupu tena.
Hatutakubali kutumika tena KAMA MITAJI ya WATU.

Sasa tuna miundombinu mizuri, Hospitali, Zahanati, SGR, MAJI, UCHUMI wa KATI ambao Tanzania wamepewa MIAKA 5 mapema zadi kabla ya wakati 2025hii ni kusema Magufuli anakubalika KIMATAIFA.
Hizi zinginezo ni mbwebwe za Membe.
TUKIKUMBUKA yale MAZURI JPM aliyoyafanya kwa muda mfupi sana pia HATuTASAHAU UNAFIKI wa Benard MEMBE
Umeandika uchakubanga mtupu..
 
Kwa nini hamuoni mazuri yeyote kwa Magu?
Kwa nini hatukuona mazuri mengi sana ya wakoloni pia? Jibu mmoja wapo na la muhimu sana la swali lako liko hapo kama utaweza kulijibu kwa kufikiria kwa kina...
 
Nataka nikupe UFAHAMU kidogo tu kwa kile kinachotokea hapaTanzania kuhusu COVID19. SarsCov2

1.Mungu ni kweli akikimbiliwa huwa na huruma.Rais alipotangaza watu wamlilie Mungu maombi yao naamini yalisikiwa.Najua kwa hili utaleta mjadala hata hivo acha nisemem tu.

2. Tanzania sasa ninachoamini KISAYANSI / Medical Science ni kuwa watu wengi wamedevelop kitu kinachoitwa HERD IMMUNITY/Kinga inayokuja wakati mtu anapokuwa EXPOSED mara kwa mara na virusi hivyo.

Na hivyo kinga YA MTU inatoa/produce ProtinI ijulikanayo kama ANTIBODIES/ KISAYANSI/IMMUNOGLOBULIN ambayo hupigana na ugonjwa na kuproduce antigens ambazo huonekana kama adui lakini baadaye mwili huitambua namatokeo yake ni kuwa ANTIGENS huchua usukani wa VITA MWILINI.

Na mwishowe mwili UNAZOEA na unashinda vita.
Si ajabu Kama SAMPLE ZA WATANZANIA zikipimwa leo utakuta wana ANTIGENS KIBAO WENGINE WAKEKAA NAZO TANGu MIAKA 3 ILIYOPOTA .Na HAWAUGUI unlessstu mtu mwenye underlying condition kama KISUKARI.

3. KISAYANSI Tanzania tangu miaka ya zamani Hospitali ama WIZRA ya AFYA ilijikita sanakatika kutoa kinga ya chanjo ya KUZUIA TB {BCG} na kwa utafiti wa sasa nchi ambazo zilichanjaga watu wake na BCG wamegudua kando ya BCG kuzuia TB piaina STIMULATE THE IMMUNITY STSTEM zima mwilini na hivo COVID 19 inakuwa haina nguvu zaidi.
Ili kudhibitisha hili.

Wahidumu wa afya 4000 wa AUSRALIA na AFRIKA YA KUSINI wamejitolea WACHANJWE BCG kama majaribio maana kuna debate ya mafanikio ya chanjohii ya zamanisana.
Nchi nyingi za ULAYA na MAREKANI ZILIACHAGA ZAMANI kuchanja BCG unless tu mtu ni At risk kama nchi kama Uingereza ambayo pia si lazima.

4.La mwisho Watanzania hawali VITU VYA SUKARI SUKARI , Maana SUKARI ikiwa nyingi mwilini . Tcells ambazo ni mojawapo ya celi za KINGA HUWA ZINALEMEWA.
Kazi kwako.
Too low, paralleling unparalleled, conceptually inept mixing metaphysics with science therefore complete confusion. Herd immunity yes. Consequence? 3% of Tanzanians died silently. Why the government not coming openly telling this to public instead of championing useless metaphysics? Only fools believed the Madagascar juice would work! Please get back to sense.
 
Hao wote unaowasema ni walewale CCM na kumbe hujui watanzania tunachokitaka ni kuwa tumeichoka CCM iwe ya njano(Membe) au kijani(Magufuli) tunataka mabadiliko na serikali mpya inayojali wananchi wake na kufuata utawala wa sheria.

Nchi yetu hatutaki iongozwe kama familia ya mtu binafsi atakacho yeye ndicho afanye, hapana tunataka kiongozi mwenye kutuelewa watanzania tunataka nini na tushirikiane nae kuondoa changamoto zetu. Sie yeye afikiri badala yetu na kufanya anayodhani yeye inafaa.

Wapelekee salamu zetu huko hao wenzio wasiojua kama nchi ni ya watanzania sio ya CCM. Maana naona mmejisahau na kudhani nyie ndio wenye hati miliki ya nchi hii mkitaka nyie ndvyo itakavyokuwa. Tunataka kurudisha madaraka ya nchi hii kwa wananchi. Kiongozi yeyote hata kama ni rais ajue yuko chini ya wananchi na sio kujiona yeye ndiye "mungu" wa watanzania No!!!
 
Too low, paralleling unparalleled, conceptually inept mixing metaphysics with science therefore complete confusion. Herd immunity yes. Consequence? 3% of Tanzanians died silently. Why the government not coming openly telling this to public instead of championing useless metaphysics? Only fools believed the Madagascar juice would work! Please get back to sense.
Mkuu,Why go ballistic? There is nothing like metaphysics here on what I tried to explain to you giving you some inputs ostensibly to help you at least that you might grasp some knowledge.

BUT When you allude your imaginary 3 % of Tanzanians died without subsequent data or verified or reliably and scientifically proven Data it remains vehemently a flat lie.

Your understanding on these issues could be the prelude of ignorance in some of what I wrote down.
Nevertheless this does not negate the fact of the situation in Tanzania as far as Covid 19 Pandemic is concerned that we are on a good path.

Whereas we cannot live on denial that this is a dangerous disease and have to be vigilant and adhere to the health guidelines given by the Ministry of health in order to prevent the vulnerable and ourselves at large from this deadly virus.

WHY I SAY your 3% is a LIE?:
TODAY in this nation we could be seeing THOUSANDS of people DYING ON our ROADSIDES,STREETS, HOMES etc and this would have attracted a lot of attention both from ourselves and the International community. ESPECIALLY in this DIGITAL ERA.!
However if you have TANGIBLE info on the DEATHS, kindly give us in this FORUM/TUPATIE ushahidi humu JF KUWA maelfu ya watu wanakufa.
La sivyo kubali tu mkuu kwamba uliambiwa wala hukujionea.

Your Insidious anger against the government does not concern me. May be you could direct your disdains to the relevant authority which is the Ministry of Health. I am 100% sure that they are in a good position to listen to your grievances on why they have not gone PUBLIC .

And since I do not speak for the government ,mine was to give the nexus space so that we could engage ourselves in a healthy discourse WITHOUT
unnecessary acrimony.
Shukrani mkuu.
 
Kwa nini hatukuona mazuri mengi sana ya wakoloni pia? Jibu mmoja wapo na la muhimu sana la swali lako liko hapo kama utaweza kulijibu kwa kufikiria kwa kina...
Pamoja na kututawala Mkoloni alitupatia ELIMU NA MAARIFA.
 
Pamoja na kututawala Mkoloni alitupatia ELIMU NA MAARIFA.
Na mengine mengi pia... tusijidanganye, miundo mbinu pia walileta sana kwa miaka zile... but what is my question to you? Why didn't we see all those good things and chased them away?
 
Na mengine mengi pia... tusijidanganye, miundo mbinu pia walileta sana kwa miaka zile... but what is my question to you? Why didn't we see all those good things and chased them away?
Please ukipata majibu yenye tija unitag Mkuu
 
Na mengine mengi pia... tusijidanganye, miundo mbinu pia walileta sana kwa miaka zile... but what is my question to you? Why didn't we see all those good things and chased them away?
Eti miundo mbinu tena Tanganyika ipi hiyo?.
Maana Tanganyika haikuwa KOLONI na Muingereza kama wewe ni mawanafunzi mzuri wa hustoria.
Waliofaidika na miundo mbinu ni jiranizetwa Nchi ya Kaskazin maana wao ndo walikuwa KOLONI lao.
Kuhusu kuondoka kwao ambayo si kweti tu ni historia unayoijuia fika.
Pointi yako niipi mkuu?
 
Too low, paralleling unparalleled, conceptually inept mixing metaphysics with science therefore complete confusion. Herd immunity yes. Consequence? 3% of Tanzanians died silently. Why the government not coming openly telling this to public instead of championing useless metaphysics? Only fools believed the Madagascar juice would work! Please get back to sense.
In addition to that I have not even touched the Madagascar stuff you talked about.
 
kuna stress inakusumbua Mkuu tulia... acha maspidi wakubwa watakuona tuu
Haha haha!! Eti stress na "wataniona tu".
Kwanza kabisa
1.Sina stress yeyote. Huku kijijini hatuna Stress kama mlivo watu wa mijini. Huku Chakula tele na sinunui, mambo safi tu. Sasa stress itoke wapi?
2. Ninasikitika ikiwa kila maoni na mitazamo inayoonekana kama inaegemea kuupa utawala huu maoni chanya unakuwa tagged sijui "UTAONEKANA. unataka kiki.

Swali kwani kila mtu anafikiriaga kama wewe? Na kama tungekuwa tunafikiria kama wewe basi wengine hata kuandika humu JF tusingetoa maoni yetu.
Kwa kifupi Wengine wetu wazo kama hilo hatuna.
Tulia usiwe na dhana potovu.
 
Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
Naona ninyi watu hamna macho?
 
50M kila kijiji,laptop kwa kila mwalimu,elimu bure,mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote,kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuboresha kilimo na kutafuta masoko kwa wakulima,Tanzania ya viwanda nimeyataja kwa uchache vipi yametekelezwa hayo Bwasheee?

Magufuli amekuwa waziri for 20yrs kwenye serikali ya chama gani? Kuna madudu mangapi ameyafanya kule wizara ya ujenzi,wizara ya nyumba,ardhi na makazi,na wizara mifugo na uvuvi? Pale Ikulu kuna madudu mangapi anayafanya?

Njaa mbaya sana zinawatoa akili na kubakia na akili ya kusifu na kuabudu tu.
Lete data humu
 
Swala si Nani anafaa
Swala ni Uhuru wa wananchi kusema yupi anafaa na yupi hafai..
Uhuru huo upo?
Katika Kulijibu swali lako- Uhuru huo upo 100%.
Namna ya kuuelewa ndo tatizo mkuu
 
Back
Top Bottom