Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu.Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.
Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa, KUNYANYASHWA, na kubaki katika UMASKINI wao.
Wananchi walitumika kama MITAJI ya KISIASA kwa wenye NGUVU za KIFEDHA na uchu wa madaraka.
Kwenye KAMPENI zao wananchi WALIAAHIDIWA ahadi kibao. Waliambiwa mtapata hiki na kile oh mtapata maji WAnasiasa walipoingia madarakani.AHADI nazo zikawa ni AHADI tu.
Wakaahidiwa maendeleo na USTAWI, badala yake WALICHOAMBLIA ni UMASKINI uliokithiri.
Wakaahidiwa UMOJA na USAWA na badala yake walichobulia ni UTENGANO wa WALICHONACHO na WASO NACHO.
kumbuka huku wengine wakiwa CHAMANI CCM walikua WAKILA mali ya CHAMA na kuifanya ni kama yao. Yaani vurugu mechi tu.Mpaka Magufuli alipotokea KIPONYA TAIFA.
Wakati haya yote yanafanyika Benard Membe and Co. ndo walikuwa MSTARI wa mbele chamani/ the DEEP STATE fellas/watu wa ndani na wa karibu...
Akiwa Wizara ya mambo ya nje hakukuwa na utaratibu NA MENGINE HATUWEZI KUYASEMA HAPA.,
Balozi zetu zilikuwa kama shamba la bibi. Hela nyingi ilitumika vibaya na watuwaliokuwa on tour of duty/Kzaoza kibalozi/ni nk wengine WALIDIRIKI KUKATA kurudi Tanzania maksudi hivyo kuendelea kukaa huko majuu kwa kadri ya MUDA waliopenda. KINYUME kabisa na TARATIBU za tour of duty katika wizara ya Mambo ya Nje.
Kama ULIJUANA na Membe mambo yako yalikuwa ni mazuri.
Kama WIZARA ILIMSHINDA TAIFA ZIMA ATALIWEZA?
Uongozi si ujuziwa kusema /ELOQUENCE. Ni zaidi ya kuzunguka zunguka nchi za nje.
SWALI: Ni nini kipya atakachowaambia Watanzania hasa baada ya MAGUFULI KUREKEBISHA both madudu serikalini na CHAMANI ambacho yeye mwenyewe ndo alikuwemo?
Ni maendeleo yapi ambayo Benard Membe ATAFANYA ama MAWAZO/IDEAS mpya ambazo atawauzia Watanzania sera WAZINUNUE?
Tusidanganyane Benard Membe HAFAI kuwa RAIS.
Rais Magufuli aendelee na maono yake kwa wanyonge na wasio na sauti.
Watanzania wanachotaka sasa na walichakipata ni UONGOZI ulio na MAONO/VISION.
Na Si SIASA tupu tena.
Hatutakubali kutumika tena KAMA MITAJI ya WATU.
Sasa tuna miundombinu mizuri, Hospitali, Zahanati, SGR, MAJI, UCHUMI wa KATI ambao Tanzania wamepewa MIAKA 5 mapema zadi kabla ya wakati 2025hii ni kusema Magufuli anakubalika KIMATAIFA.
Hizi zinginezo ni mbwebwe za Membe.
TUKIKUMBUKA yale MAZURI JPM aliyoyafanya kwa muda mfupi sana pia HATuTASAHAU UNAFIKI wa Benard MEMBE