Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

Wanajifanya hawana macho. Yaleyale ya Zitto kupinga ununuzi wa bombardier lakini ndege ilipokuja alikuwa wa kwanza kuipanda na kwenda nayo Dodoma.
Mtu akiishi katika DENIAL/Kutokukubali kile kinachotokea basi huendelea kuumiza afya yake.
 
Pia ningependa kukushauri. Kutopenda nchi yako na mara kwamata kuitakia mabaya si BUSARA bali ni kukosa uzalendo.
Hata kama wewe niwachama kingine.Hiyo hailipi
Uzalendo siyo mapenzi kwa sera mbozi za hatari kwa nchi bali kusema ukweli na ukweli mtupu dhidi ya sera mbovu za hatari kwa nchi. Rejea kinachoendelea nchini Burundi baada ya Nkurunziza kuondoka na ulaghai wake kwa nchi kuhusu COVID 19.
 
Kwa sasa hakuna mtanzania anaruhusiwa kukanyaga EU zone. Kama kukubalika kimataifa kwa utawala wa sasa ndio huko basi Tanzania imekubalika sana kimataifa kipindi cha utawala wa Magufuli.
Hizo bangi umevuta lini? Mbona wabongo wengi tu wapo EU.
 
Jpm na member wote magamba tu.Ila Mara 1000 jpm kuliko membe.Bila lissu sipigi kura kamwe
 
Uzalendo siyo mapenzi kwa sera mbozi za hatari kwa nchi bali kusema ukweli na ukweli mtupu dhidi ya sera mbovu za hatari kwa nchi. Rejea kinachoendelea nchini Burundi baada ya Nkurunziza kuondoka na ulaghai wake kwa nchi kuhusu COVID 19.
Nataka nikupe UFAHAMU kidogo tu kwa kile kinachotokea hapaTanzania kuhusu COVID19. SarsCov2

1.Mungu ni kweli akikimbiliwa huwa na huruma.Rais alipotangaza watu wamlilie Mungu maombi yao naamini yalisikiwa.Najua kwa hili utaleta mjadala hata hivo acha nisemem tu.

2. Tanzania sasa ninachoamini KISAYANSI / Medical Science ni kuwa watu wengi wamedevelop kitu kinachoitwa HERD IMMUNITY/Kinga inayokuja wakati mtu anapokuwa EXPOSED mara kwa mara na virusi hivyo.

Na hivyo kinga YA MTU inatoa/produce ProtinI ijulikanayo kama ANTIBODIES/ KISAYANSI/IMMUNOGLOBULIN ambayo hupigana na ugonjwa na kuproduce antigens ambazo huonekana kama adui lakini baadaye mwili huitambua namatokeo yake ni kuwa ANTIGENS huchua usukani wa VITA MWILINI.

Na mwishowe mwili UNAZOEA na unashinda vita.
Si ajabu Kama SAMPLE ZA WATANZANIA zikipimwa leo utakuta wana ANTIGENS KIBAO WENGINE WAKEKAA NAZO TANGu MIAKA 3 ILIYOPOTA .Na HAWAUGUI unlessstu mtu mwenye underlying condition kama KISUKARI.

3. KISAYANSI Tanzania tangu miaka ya zamani Hospitali ama WIZRA ya AFYA ilijikita sanakatika kutoa kinga ya chanjo ya KUZUIA TB {BCG} na kwa utafiti wa sasa nchi ambazo zilichanjaga watu wake na BCG wamegudua kando ya BCG kuzuia TB piaina STIMULATE THE IMMUNITY STSTEM zima mwilini na hivo COVID 19 inakuwa haina nguvu zaidi.
Ili kudhibitisha hili.

Wahidumu wa afya 4000 wa AUSRALIA na AFRIKA YA KUSINI wamejitolea WACHANJWE BCG kama majaribio maana kuna debate ya mafanikio ya chanjohii ya zamanisana.
Nchi nyingi za ULAYA na MAREKANI ZILIACHAGA ZAMANI kuchanja BCG unless tu mtu ni At risk kama nchi kama Uingereza ambayo pia si lazima.

5.Watanzania HAWASASAFIRI SAFIRI sana
6. Watanzania WENGI wana MIILI MIDOGO/BMI ZAO NI ZA WASTANI
Maana imegundulika kisayayansi kuwa ugonjwa huu UNAWAWEZA sana WATU WANENE.
Na kama wewe ni mnene PUNGUZA haraka iwezekanavyo.

4.La mwisho Watanzania hawali VITU VYA SUKARI SUKARI , Maana SUKARI ikiwa nyingi mwilini . Tcells ambazo ni mojawapo ya celi za KINGA HUWA ZINALEMEWA.
Kazi kwako.
 
Kwa sasa hakuna mtanzania anaruhusiwa kukanyaga EU zone. Kama kukubalika kimataifa kwa utawala wa sasa ndio huko basi Tanzania imekubalika sana kimataifa kipindi cha utawala wa Magufuli.
Nafikiri jibu langu umelielewa fika.
 
Common sense is not common, sorry.
Is not common for someone like you who doesn't want to reason and instead brings unnecessary schism of otherwise healthy discussion.
Alikuulizaswali. KUULIZASI UJINGA hiyo si UN COMMON sense. Ni common sense kabisa.
 
Washalipwa.
Una swali lingine?
kama wamelipwa kwanini mmejitoa kwenye hiyo biashara ilhali "hata kwa meno zingebanguliwa... tukazila wenyewe!!"
Daah jamaa anawakosesha usingizi!!!
 
kama wamelipwa kwanini mmejitoa kwenye hiyo biashara ilhali "hata kwa meno zingebanguliwa... tukazila wenyewe!!"
Daah jamaa anawakosesha usingizi!!!
Si kweli. Umgekuwa unatoka huko uegewasemea.
Mbona wewe huishi huko lakini manenokibao.
Mkuu Usichukulie kila majungu kama ndo ukweli mtupu
 
Si kweli. Umgekuwa unatoka huko uegewasemea.
Mbona wewe huishi huko lakini manenokibao. Mkuu Usichukulie kila majungu kama ndo ukweli mtupu
kuna stress inakusumbua Mkuu tulia... acha maspidi wakubwa watakuona tuu
 
Back
Top Bottom