Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Duuuh! Pole sana!Pole sana nadhani mimi sio mwalimu mzuri... Ni hivi unanunua umeme kwenye njia yoyote ile lakini automatically unaingia kwenye luku bila kwenda kubofya bofya ile mita. kama ukinunua king'amuzi chanel iznavyorudi automatic.
Si kweli mamaaa!!!Pole sana nadhani mimi sio mwalimu mzuri... Ni hivi unanunua umeme kwenye njia yoyote ile lakini automatically unaingia kwenye luku bila kwenda kubofya bofya ile mita. kama ukinunua king'amuzi chanel iznavyorudi automatic.
Kwenye simu yake? si atasema ali-delete! chezea watu wasiowaaminifu wewe?Kunakuwa na receipt ya malipo kama ilivyo sasa
free rider mkuuKwanini sasa hivi inakuaje? Si mnashare malipo ndio mnanunua kwa pamoja au? Ishu ni kuondokana na ile hatua inayokera mno ya kuingiza token ndeeeeefu
Kilichinifurahisha mimi si weweAt least kuna vijana wanaowaza mambo mengine zaidi ya siasa, mpira na muziki
Kudos
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu kisimbusi mbona tunanunua kwenye simu tuMchakato wa kuingiza umeme automatically kama unavyohitaji si rahisi kama unavyofikiria maana zipo variables kibao zinazohusika hadi pale units zinapoingia ktk mita yako. Hivi unaponunua airtime token kwa ajili ya simu yako, zile credits ulizonunua je uingia moja kwa mmoja ktk simu yako bila kuzi punch in physically?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwepo uwezekano wa kuangalia salio kama tunavyofanya bankmkuu meter zimewekwa ili upate kuingiza hizo tokken lakini pia uweze kujua matumizi ya umeme wako ulonunua kwa maana umenunua unit fulani na muda fulani zimebakia kiasi fulani,ukifanya idea kama hyo utakuja kushangaa umeme umekukatikia saa 7usiku sababu hujui una umeme kiasi gani
Sent from my iPhone using JamiiForums
OK, nafikiri tukipata wataalamu wazuri wa IT yote yanawezekana.Vipi kuhusu kisimbusi mbona tunanunua kwenye simu tu
Njia pekee ya kuImplement hili wazo ni lazima kuwe na direct Telecommunication link( atleast downlink connectivity) between Tanesco servers na Customer LUKU Meter.
Njia pekee ya kuImplement hili wazo ni lazima kuwe na direct Telecommunication link( atleast downlink connectivity) between Tanesco servers na Customer LUKU Meter.
This communication link can be implemented in several ways:
1. Satellite Communication
Advantage ni Countrywide coverage
Disadvantage ni (a)Expensive option
(b) Only downlink communication possible
2. GSM network
Advantage ni (a)Large part of Tanzania is covered by GSM network(s) already
(b) Two way communication link possible
Disadvantage ni Old technology na might not be supported by manufacturers by 2030.
3. Internet via GPRS and later wireless mobile technologies
Advantage is (a) good coverage countrwide
(b) Two way communication link possible
Disadvantage is it needs internet data bundle.
4. Wired proprietary networking technologies
Advantage: (a) High speed
(b) Two way link possible
Disadvantage: Expensive to implement
Option 3 is best option in my opinion
Pia lazima kufanyike Electronic Hardware modification upande wa LUKU Meter kama ifuatavyo:
Option 1 above needs (a) an antenna or dish to capture satellite signals (b) electronic circuit ya kudemodulate the signal.
Option 2 needs only GSM/GPRS module and mobile phone sim card
Option 3 needs GPRS module and mobile carrier sim-card
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?
Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433
Wewe do umeongea Point zaidi lakini Hii itahitaji Luki meter mpya mzee babaa...[emoji26]Inawezekana kabisa. Ni suala la teknolojia itayoruhusu mita kuwekewa SIM card tu. Sim card inakuwa kwenye mita. Ukinunua moja kwa moja umeme unaingia kwenye mita. Kama unanunua kwa Voda unaweka sim card ya voda kwenye mita. Inakuwa na namba yake.
Sent using Jamii Forums mobile app