Tukio gani hautolisahau mwaka 2021?

Kuachishwa kazi. Sina mwelekeo
 
Tukio la kuwekewa vyupa kwenye supu.

Ilikua hatari sana

Ila Mungu ni mshindi daima.
Mkuu funguka kidogo watu tujifinze wengine wanaona wao Wana MAGUMU zaidi kumbe ukifunguka hili lako yakwetu yanakuwa chamdoli
 
Pole sana ndugu.
 
Ulishindwaje kulisalve kidiplomasia na huyo mwanaume mwenzako mpaka mgombane?
 
Demu kunidanganya Yuko seminar wiki nzima kumbe Yuko na mshikaji harafu nishapeleka mahari ,ndoa ilikuwa ifanyike January ,hivyo sioi Tena ,
Pole mkuu na umshukuru Mungu Kuna jambo kakuepusha dhidi ya huyo mwanamke
 
Nipale nilipo ugua gono nikalipeleka ndani ngoma ikawa ngumu pakuanzia niwapi ili my wife naye akatibiwe ila kwa baadaye tulitibiwa na sasa naibebena Bila shids
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…