heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Kuwa na mahusiano na mke wa mtu 😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuachishwa kazi. Sina mwelekeoNaam
Wakuu nadhani baadhi yetu tukiwa sehemu mbali mbali za dunia au nchini tulijaribu namna moja kuvuka kutoka 21 kwenda 22.
Kila mtu akifanya kwa namna yake
Kama lengo la kichwa hapo juu ni tukio gani lilikunyoosha mpaka kufikia hatua ya kutolisahau au ni tukio gani ulikutana nalo lilikuinua kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Ukafanikiwa
Na hautolisahau
Binafsi mwezi may pale 2021 nilipata kamchongo ka party time ambayo ningevuta mkwanja flani mrefu sana ambao nlishaupangia bajeti kabisa na ratiba.
Ilikuwa green city huko lahaulla nikaazima gari ya jamaa damu damu kabisaa na alinielewa maana si mara moja kuinuana kwenye shida sasa ile kufika maeneo ya igawa pale wakati naliendea jiji la mbeya
Asalaaale!! nikaangusha chuma wakati nakwepa boda boda iliyojichanganya
Matokeo yake nikawa kwenye matibabu na kibarua kikaota nyasi baadaya kuchelewa , kilichoibuka ni kufanya matengenezo ya gari na kula hasara maradufu
Allhamdulliah shukraani kwa Mola bado napumua na nina nafasi ya kundelea kuzisaka nyingine
VIPI KWAKO ULIKUTANA NA DHAHAMA AU TUKIO LENYE NEEMA IPI???
Pole mkuu Mungu akupiganieKuachishwa kazi. Sina mwelekeo
Mkuu funguka kidogo watu tujifinze wengine wanaona wao Wana MAGUMU zaidi kumbe ukifunguka hili lako yakwetu yanakuwa chamdoliTukio la kuwekewa vyupa kwenye supu.
Ilikua hatari sana
Ila Mungu ni mshindi daima.
Pole sana ndugu.Naam
Wakuu nadhani baadhi yetu tukiwa sehemu mbali mbali za dunia au nchini tulijaribu namna moja kuvuka kutoka 21 kwenda 22.
Kila mtu akifanya kwa namna yake
Kama lengo la kichwa hapo juu ni tukio gani lilikunyoosha mpaka kufikia hatua ya kutolisahau au ni tukio gani ulikutana nalo lilikuinua kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Ukafanikiwa
Na hautolisahau
Binafsi mwezi may pale 2021 nilipata kamchongo ka party time ambayo ningevuta mkwanja flani mrefu sana ambao nlishaupangia bajeti kabisa na ratiba.
Ilikuwa green city huko lahaulla nikaazima gari ya jamaa damu damu kabisaa na alinielewa maana si mara moja kuinuana kwenye shida sasa ile kufika maeneo ya igawa pale wakati naliendea jiji la mbeya
Asalaaale!! nikaangusha chuma wakati nakwepa boda boda iliyojichanganya
Matokeo yake nikawa kwenye matibabu na kibarua kikaota nyasi baadaya kuchelewa , kilichoibuka ni kufanya matengenezo ya gari na kula hasara maradufu
Allhamdulliah shukraani kwa Mola bado napumua na nina nafasi ya kundelea kuzisaka nyingine
VIPI KWAKO ULIKUTANA NA DHAHAMA AU TUKIO LENYE NEEMA IPI???
Ulishindwaje kulisalve kidiplomasia na huyo mwanaume mwenzako mpaka mgombane?Mimi kubwa zaidi kwangu nilikuwa na mchepuko wangu ambaye alinipenda sana hata siwezi simulia. Huyu dada wako mapacha na mwenzeke Tena wale wa kufanana hasa. Mwenzake ameolewa Sasa Kuna siku watu wasiojulikana na hawawajui hawa pacha waliniona niko na mchepuko wangu si wakaenda kwa jamaa kumwambia mkeo anatoka na mhakiki. Bwana lilitokea timbwili la asha ngedele na halijaisha ninahama nalo kwenda 2022. Yaani hawa pacha hawa acha kabisa.
Asante mkuuPole mkuu Mungu akupiganie
Mkuu NIMETUMA diplomasia na mchepuko wangu umeletwa mbele ya kikao Cha balaza la usalama wa wachepukaji lakini jamaa haelewi. Kweli wasio julikana Wana nguvu sijui walipeleka ujumbe gani.Ulishindwaje kulisalve kidiplomasia na huyo mwanaume mwenzako mpaka mgombane?
Kuachishwa kazi. Sina mwelekeo
Pole mkuu na umshukuru Mungu Kuna jambo kakuepusha dhidi ya huyo mwanamkeDemu kunidanganya Yuko seminar wiki nzima kumbe Yuko na mshikaji harafu nishapeleka mahari ,ndoa ilikuwa ifanyike January ,hivyo sioi Tena ,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakyananiMungu alijibu maombi yangu ya miaka mingi mwezi wa 3
Wakondya mkuluYego, Pole mozoe.
Mahari yako unaenda kuifata lin?Demu kunidanganya Yuko seminar wiki nzima kumbe Yuko na mshikaji harafu nishapeleka mahari ,ndoa ilikuwa ifanyike January ,hivyo sioi Tena ,