Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu.
Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana.
Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe ugali getoni. Kudadek nilikuwa nishamind ila nikavumilia tu tukaenda geto nikamsongea ugali tukala na nyama.
Usiku huo nilimnjunja kwa hasira sana😄