Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

Zaidi ya tozo za hapa na pale za wanawake hakuna mateso mapya!,kuna mwanamke aliniomba laki 3 nikahisi anataka kutoka na roho yangu [emoji276]eti baby nitumie laki tatu nibadilishe kioo cha simu!,na mapenzi yaliisha siku hiyo hiyo
[emoji1787]
 
Hehehe..Sasa mbona raha hiyo kukusumbua hivyo😂😂..Kuna mwamba nilikua namsumbua aisee hata nikimwambia saa sita ya usiku nataka kumuona au njaa inauma sijisikii kula ugali anakuja chap kutoka upanga to kijichi😂😂😂😂dah.kama yalikua mateso atajijua mwenyewe..J ..ndiyo Basi Tena.
Simp
 
Back
Top Bottom