Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nmescreenshot kabsa nmecheka sanaAlinidanganya kafaulu form four ana two ya 30
Nikamuuliza toka lini 30 ni division two
Akanijibu kwa wanawake zipo,[emoji16]
Uliipiga kama dufu🤣🤣kumpa pesa asee, yaani naenda ku-struggle street life gumu alafu anatokea yeye anaomba tu tena anaona ni haki yake wewe kumpa... nilipopata nafasi ya kumfumania sikuichezea
Sikuteseka..Kunatukio nilimfanyia mtu aisee nilimtesa sana Mungu anisamehe🙏
😂😂Utateseka Kwa lazimaSikuteseka..
😂🤣🤣Hii Kali kulikoWeee nae mtoa thread kama litoto vile, kwan ulkuwa hujui majukumu yako kuwa dem anataka aje kwako?
Yaan una geto alafu unampeleka mgahawani? Umuhimu wa geto ukowapi?
Naona kisa chako kwetu wengine ni kama Kachumbari tuu[emoji23].
Iko hiv mwenzako kipind nimempata mrembo niliyekuwa namuwinda kwa muda mrefu nikijua nimeokota DODO bwana wee kumbe nimeyakanyaga.
Kwanza yule mrembo ni bonge la omba omba, yaan ni wale madem Njaa pro max, unaweza kumtumia pesa ya kula, akakudai pesa ya nauli kwenda kutoa pesa, na bado hapo hapo atakudai na sio kukuomba, yaan kinguvu anataka umpatie pesa ya kila week kama mshahara vile[emoji23][emoji23] anamaanisha matumiz ya kila week, kumbuka hayo ni matumiz tu, bado pesa za hapa na pale.
Kiufupi niliyakanyaga na kuona Mapenzi ya namna ile ni upuuzi japo mtoto yuko ROMANTIC KINOMA[emoji16][emoji23][emoji23].
Nilimpiga na kitu kizito pale alipovuka mipaka na kunigeuza mimi mzazi wake, yaan nihumudie huduma na majukumu ya wazaz wake....hawez sahau hili[emoji23]
Sio hilo tu, kuna kile kisa cha mpenz kudumu nae kwa muda mrefu, mkiahidiana mengi ikiwepo ndoa, [emoji23]lkn majukum yakidunia yanawaweka mbali na mnakuwa kwenye long distance relationship [emoji23], mnapigiana simu kila muda, ahadi kila muda, unapata likizo na kurudi kitaan, then unapanga kukutana na dem na kwenda kujitambulisha ukwen, kumbe mwenzako tayari alishaolewa na ndoa imefungwa ikiwa na mimba changa ya mme wake mpya[emoji23][emoji23] mtoa thread unaijua hii situation?
Mtoa mada hawezi kuelewa haya mambo 😂Weee nae mtoa thread kama litoto vile, kwan ulkuwa hujui majukumu yako kuwa dem anataka aje kwako?

Nilikuwa kiunoni mwa mchepuko wangu fulani mara simu yake ikaita hakupokea, ikapigwa tena ikanilazimu niache kumtomba nitulie bila kuchomoa mborlo nikamwambia pokea.... lahaulaaa kumbe ni mume wake anapiga, wakasalimiana kisha huyu mwanamke akampiga mzinga wa laki tano kwa command na maelekezo kwamba atumiwe hiyo hela kisha apigiwe simu baadaye yupo busy kwa wakati huo, akakata simu akanigeukia mimi akinitaka niendelee kumtomba.
Ikaingia sms kwa simu yake akaichukua simu yake na kunitumia 250,000/= pale pale. Nilijihisi vibaya sana ikanilazimu nikajimwagie maji nikavaa nguo zangu nikatembea. Ilichukua zaidi ya miezi sita kusuluhisha hilo na kukaa sawa. Wanawake mna roho ngumu sana wakati mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ushangae Sasa Mkuu [emoji23][emoji23]Sasa hapo mateso yako wapi
kisawasawa😁Uliipiga kama dufu🤣🤣
Snipper umepita njia zanguKumpa pesa asee, yaani naenda ku-struggle street life gumu alafu anatokea yeye anaomba tu tena anaona ni haki yake wewe kumpa... nilipopata nafasi ya kumfumania sikuichezea