Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehe..Sasa mbona raha hiyo kukusumbua hivyo😂😂..Kuna mwamba nilikua namsumbua aisee hata nikimwambia saa sita ya usiku nataka kumuona au njaa inauma sijisikii kula ugali anakuja chap kutoka upanga to kijichi😂😂😂😂dah.kama yalikua mateso atajijua mwenyewe..J ..ndiyo Basi Tena.
 
Tukiwa tunatoka posta kipindi kile usafiri shida 2015 hivi. Daladala ya makumbusho tulikosa siti tukawa tumesimama. Basi limefika fire kituoni Kuna mtu anashuka na nimesimama mkabala nae. Wakati jamaa anasimama nampisha nikawa nahisi nasukumwa na mie nikawa namsukuma. Kuangalia vizuri nasukumana na demu wangu tunagombania siti. ***** like demu halina hadabu Kila mtu alishika hamsini zake tuliposhuka makumbusho.

At least angeacha nikae Kisha kama gentleman ningeweza mpisha, na tumesimama pnde mbili tofauti alinifanya nijione kubwa jinga kutoa nae.
 
Weee nae mtoa thread kama litoto vile, kwan ulkuwa hujui majukumu yako kuwa dem anataka aje kwako?

Yaan una geto alafu unampeleka mgahawani? Umuhimu wa geto ukowapi?

Naona kisa chako kwetu wengine ni kama Kachumbari tuu[emoji23].

Iko hiv mwenzako kipind nimempata mrembo niliyekuwa namuwinda kwa muda mrefu nikijua nimeokota DODO bwana wee kumbe nimeyakanyaga.

Kwanza yule mrembo ni bonge la omba omba, yaan ni wale madem Njaa pro max, unaweza kumtumia pesa ya kula, akakudai pesa ya nauli kwenda kutoa pesa, na bado hapo hapo atakudai na sio kukuomba, yaan kinguvu anataka umpatie pesa ya kila week kama mshahara vile[emoji23][emoji23] anamaanisha matumiz ya kila week, kumbuka hayo ni matumiz tu, bado pesa za hapa na pale.

Kiufupi niliyakanyaga na kuona Mapenzi ya namna ile ni upuuzi japo mtoto yuko ROMANTIC KINOMA[emoji16][emoji23][emoji23].

Nilimpiga na kitu kizito pale alipovuka mipaka na kunigeuza mimi mzazi wake, yaan nihumudie huduma na majukumu ya wazaz wake....hawez sahau hili[emoji23]

Sio hilo tu, kuna kile kisa cha mpenz kudumu nae kwa muda mrefu, mkiahidiana mengi ikiwepo ndoa, [emoji23]lkn majukum yakidunia yanawaweka mbali na mnakuwa kwenye long distance relationship [emoji23], mnapigiana simu kila muda, ahadi kila muda, unapata likizo na kurudi kitaan, then unapanga kukutana na dem na kwenda kujitambulisha ukwen, kumbe mwenzako tayari alishaolewa na ndoa imefungwa ikiwa na mimba changa ya mme wake mpya[emoji23][emoji23] mtoa thread unaijua hii situation?
 
😂🤣🤣Hii Kali kuliko
 
Mtoa mada hawezi kuelewa haya mambo 😂
 
Kuna demu niko nae ila ana majibu machafu na amenizoea vibaya kiasi kwamba nikiongea nae ananijibu kama vile yupo na mashoga wenzake, kwa ufupi ni kwamba haniheshimu. Sasa atajua ni kwann punyeto niliifahamu kabla yake 😁
 
Nasema tena Leo usiwekeze nguvu, pesa na pendo lako lote kwa mwanamke/ mwanaume.
Wenye kuoa oeni tu Mimi bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…